Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 46,710
- 99,544
Mkuu huku mie nitawasoma tu,Uzi wetu ule ndio tutahabarishana vzr..Kabila kampandikiza swahiba wake mkubwa. Shadari akishinda uchaguzi Kabila atakuwa salama salmini. Hakutaka chama kifanye uchaguzi.
Karibu tungonge cheers hapa "la parge"
Hahaha ,katiba ya Congo inasemaje?kafuata katiba mnasifia kanisa ,asingefuata katiba mngekuja na mengineKanisa Katoliki Congo limefanya kazi kubwa sana