Hatimaye Jairo apigwa chini bila huruma

PICHA+NA+2.jpg

Picha inaniudhi hii, uzuri hawa sio wawakilishi wa wanaume. Sijui hawajaoa! yaani mi siwaelewi kabisa.
 
kWA TANZANIA TUNAYOIFAHAMU, ATAENDELEA KUPETA TU
Ni kweli Mkuu maana ni kosa la watendaji wakuu wa Wizara, yeye alitekeleza tu, kumbe yeye anaweza kuwa mshtakiwa namba tatu katika kesi kama itakuwepo ingawa sifikirii sana kuwepo kwa kitu hicho zaidi ya kupangiwa kazi nyingine.
 
loh wazee wazma na tai zao hata aibu hawana
inasikitisha mijitu mizima labda ndio wale waliohusika ktk kupnaga zile posho
nchii hiii bwana hakuna atakaewajibishwa jairo ana siri binafsi ambazo jairo akizianika hakutakalika kuhusu IPTL [QUOTEuk=EMT;3071101]
PICHA+NA+2.jpg
[/QUOTE]
Wana wasi wasi gani ?! Wao wanaongeza sifuri mbele !
 
Nchi hii watu wanajua kuwa-distract watu saana!sasa pamoja na ishu ya migomo,na posho za wabunge!

Hatujasahau hili na tunataka majibu complete!kesho! Mana Pinda tunamjua zake ooh,mara "....Linazungumkika,mara ....tutashauriana jinsi ya kulimaliza"

Enough is enough, actions please!
 
Sidhani kama walikuwa wanajua wanachofanya...mambo ya "me against the world" yanataka mtu uwe shababi na mwenye maguvu kweli kweli
 
Nani ambaye amewahi kupigwa chini ukasikia amelost,watu wanabadilishiwa vijiko tu,pilau ni lilelile.
 
Nchi hii watu wanajua kuwa-distract watu saana!sasa pamoja na ishu ya migomo,na posho za wabunge!

Hatujasahau hili na tunataka majibu complete!kesho! Mana Pinda tunamjua zake ooh,mara "....Linazungumkika,mara ....tutashauriana jinsi ya kulimaliza"

Enough is enough, actions please!

Mkuu ujue ni mecheka sana na majibu ya pinda....Ili mradi linazungumzika serikali itaangalia jinsi gani ya kulimaliza...
 
Back
Top Bottom