Mahakama ya kisheria ya Kimataifa inayohusika kusikiliza na kutoa hukumu kwa kesi za jinai ICC, kupitia Baraza la Wanasheria wake limeviambia vyombo vya habari kuwa litafika Tanzania kuanza uchunguzi na kukusanya ushahidi wa matukio yote muhimu yaliyotokea kabla na baada ya tarehe 29/10/2025.