Hatimaye Hamad Rashid, Shoka Hamis na wenzao wawili wafukuzwa CUF!

Hamad Rashid , anavuna alichopanda, alipanda kwa unafiki , umbea , na majungu, anavuna mshahara wa dhambi zake nao ni mauti ya kisiasa, huyu anapita njia sawa na dodo yule wa NCCR alietimuliwa juzi, waliikejeli sana CDM, wakajiegemeza upande wa ccm, wakapigiwa chapuo na wale walala usingizi , na meza zikalindima kila walipokua wakiikejeli CDM kwakuunda kambi ya upinzani bila kuwashirikisha.

Ushahidi dhahiri , utamshirikishaje mtu ambae kutwaa yupo kwenye viambaza vya ccm akiomba favor, hahaaah! walipanda kwa ****** wanavuna kwa viuno.
Simuulumii, japo siwaoni CUF na NCCR kama vyama makini vya siasa zaidi naviona kama JUMUIA ZA CCM .
 
Nikiwa ktk viwanja vya Marson Hotel hapa shangani nashuhudia taarifa rasmi ya kufukuzwa kwa viongozi waandamizi 4 wa cuf! HR kwishney!!

Siamini. Mbona Zitto hajaiweka kwenye status zake za Online Offices (wall zake FB na Twitter)? Au huko hana Maslahi, HR siyo mnyonge anayeonewa na ukosefu wa demokrasia ndani ya chama?
 
Kuna mwana JF alisema kuna uchaguzi mdogo unakaribia katika baadhi ya majimbo......naona inaweza kuwa kweli. Ngoja kwanza nifatilie habari hii kwa kina
 
Yani uchaguzi mkuu umefanyika juzi tuu lakini kwa hii miaka mitatu iliyobaki Taifa litaendelea kuwa kwenye kampeni za kisiasa, inaelekea huko peke yake ndo kuna pesa.

Na hivyo siasa ndo zitajenga nchi.
 
huyu alilazimisha kuwa Kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni na sasa amekosa yote, uanachama wa cuf, ubunge na kiongozi w upinzani bungeni

this is how life is

selfish acrobatics
 
ashakum si matusi, atakuwa maalim amelewa ndoa na na anatumika kuua upinzani.
Wanasiasa wanatabirika sana siku hizi
 
Habari zilizoko hewani Mtatiro ametoa taarifa fupi na kuthibitisha kufukuzwa kwa HR uanachama CUF
 
kuna matamko nimeyasikia dodoma, dsm na mwanza kuwa wanapinga hatua za kufukuzwa hawa watu...sasa wametimuliwa ...waliotoa matamko watoe tena
 
Back
Top Bottom