Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,637
- 272,437
Hakuna nchi isiyokopa dunianiKunawakati wasomi wetu ni janga kuliko kawaida wasomi badala ya kupeleka ushauri namna ya kunusuru uchumi anashangilia serikali kukopa
Elimu haina mwisho ila mawazo ya binadamu yana ukomo nae huyu msomi wetu mawazo yake ndo yalipo ishia
Wapiga Dili wanahaha Kama Mapaka ya Rose Garden mkuu.Muhadhiri wa chuo kikuu cha Dar - es salaam, Dr. Joel Silas ameelezea matumaini yake kuwa mpango wa serikali wa kukopa kwenye benki za biashara za ndani utarudisha fedha zilizoadimika mitaani kwa sasa hatimaye .
Kwamba hatua hiyo itarudisha fedha iliyopotea mitaani kwa sababu itasaidia kuimarisha mzunguko wa fedha kwenye uchumi .
Chanzo - Nipashe .
Mytake - Elimu ni ufunguo wa maisha .