Rich Pol
JF-Expert Member
- Oct 11, 2013
- 7,877
- 5,701
Kwahiyo? ?Ukubwa wa ndege sio umbo!!
Kwahiyo? ?Ukubwa wa ndege sio umbo!!
Nakuona team PANGABOYView attachment 416413 hio ya kwenu haina spidi kama hii ya kwetu ni dk 30 tu upo mwanza yani hata hujaanza kuhisi njaa umesha tua mwanawane
Kuna tofauti kati ya Mpya na "Mpya"Umeelewa swali lakini??
Mleta mada ameandika Hatimaye Fastjet waanza safari na ndege zao "Mpya", kumbe hizi ndege za Fastjet zimekodishwa Bulgaria so ni used, ndio nimemuuliza why aseme Fastjet kaleta ndege Mpya wakati ukweli ni kwamba ni used zimekodiwa Bulgaria.
ATCL anakujaje hapa??
Mkuu ulishawahi kupanda ndege?Performance ya ndege!!
Kila abiria na ratiba yake. Abiria wengi una watakiani?Vipi kati ya hiyo ndege ya FastJet na Bombadier ni ipi inabeba abiria wengi?
We csta acha kiherahere, hili swali sijakuuliza weweKila abiria na ratiba yake. Abiria wengi una watakiani?
Kukosekana dawa sio kwamba hakuna hela serikalini. Ni uzembe wa wizara. Hapa naangalia kama huyu waziri hatatumbuliwa basi ikifanyika reshufle sina uhakika kama atarudi.Haya mapangaboi yaki expire yawekwe makumbusho hil vizaz vijavyo wajifunze tulikosa dawa na huduma muhim kwa ajil ya hiz ndege
Zote zinatembea 870kph mkuu, hakuna cha udogo wala ukubwa.Mtoa mada acha uongo Air Bus A 319 inatumia 1.10 kufika Mwanza kutoka Dar hiyo ndogo itatumia vipi dakika 50? ?
Kama hata chance ya kupeleka wafia mwenge na makada simiyu imeota mbawa, unatarajia katanenepa hako kweli?Samahani, hii ndio bombadia, mali mpya, aisee, safi sana. Tumenunua kwa hela yetu wenyewe hii, loh, safi sana, aisee.
Sema kamekondakonda, ila katanenepa tu.
Acha wafarijiane tu kwani hawana pa kushika!Ni kikundi kidogo cha wazungusha mikono ndio wamekosa uzalendo, wananchi wengi tunapenda Tanzania yetu na tunaendelea kuisupport serikali chini ya raisi JPM.
Basi Sawa!!!Kuna tofauti kati ya Mpya na "Mpya"
Hukuwahi kujifunza matumizi ya hizi alama " " katika uandishi?Sisi wakati tunasoma ilikuwa ni Mada katika somo la Kiswahili,iliitwa "UTUNGAJI",ilisomeshwa kidato cha Tatu