Gaspare Mbile
JF-Expert Member
- Aug 30, 2016
- 1,567
- 1,605
Wapi mapanga shaaaa a.k.a panga boy.
Walishaga hama hapo mkuu.Siku hizi wapo pale jilani na Sinoni shule ya msingi.Upo unga ltd mkabala na nguzo mbili
Kukiwa na ushindani nauli zinajidhibiti zenyewe.Soko la usafiri wa ndege litakuwa na ushindani mkubwa ikiwezekana nauli zidhibitiwe na serikali
Ni kikundi kidogo cha wazungusha mikono ndio wamekosa uzalendo, wananchi wengi tunapenda Tanzania yetu na tunaendelea kuisupport serikali chini ya raisi JPM.liccm na mambo yake ya hovyo limesababisha watz tukose uzalendo.mnatuvunja moyo sana,
E 190View attachment 416401 View attachment 416402 View attachment 416403 View attachment 416404 Fastjet imeshasogeza ndege moja aina ya E190,ambayo itakuwa inafanya safari zake ndani na nje ya nchi.Ndege hiyo imekodiwa toka Kampuni ya ndege ya Bulgaria imeshaanza safari za ndani ya nchi,huku ikitazamiwa kuwa wataongeza nyingine ili kukabiliana na soko la ushindani wa usafiri wa anga Tanzania.
Hii ni dalili kuwa soko la ushindani kati ya ATCL na makampuni binafsi yanayofanya kazi ndani ya soko la ndani ya nchi inaongezeka.Meneja Mkuu wa Fastjet Tz John Corse anasema hili ni ingizo la kwanza tu,wapo mbioni kuongeza nyingine,ili kukabiliana na ushindani wa ndani na kupunguza ghalama za uendeshaji,ambapo hapo awali walipokuwa wanatumia A319,kampuni ilipata sana hasara na kujiendesha kwa kusuasua.
Leo nilikuwa mmoja wa walionja "utamu" wa E190 toka Dsm to Mwanza,ni mwendo wa dakika 50 tu mwanawane;mtu wangu Rockcity native tukutane Jembe Ni Jembe tupasue mifupa ya sato na balimi baridi bia ya mvuvi.
Wazee wa ruchelele,Malimbe na SAUT tukutane Goldcrest ....Sasa ni dakika 50 mate hayajakauka wala mama kuipua mboga mtu upo Dsm from Mwanza.
[HASHTAG]#ATCL[/HASHTAG] tutaendelea kukupenda [HASHTAG]#bombadia[/HASHTAG] ...Hatuachi mbachao kwa msala upitao.
Kushoto hata mimi sitanii ujue
Sio kweli,ATCL Ni ndege mpya..Then why useme "Ndege zao Mpya" wakat zieshatumika sana Bulgaria??
Umeelewa swali lakini??Sio kweli,ATCL Ni ndege mpya..
Huo mpango tu wa kuwakwepa wadai wa ATCL,ili wasikamate ndege kufidia madei...harafu ATCL Ni shirika la serikali...jiongeze mkuu.Atcl wamekodishiwa ndege na serikali usitudanganye mkuu mpka mtukufu amesema tena kwa mdomo wake mwenyewe ndege ni za serikali na atcl wamekodishiwa
Nimekusoma...ndege za Fast Jet sio mpya.Umeelewa swali lakini??
Mleta mada ameandika Hatimaye Fastjet waanza safari na ndege zao "Mpya", kumbe hizi ndege za Fastjet zimekodishwa Bulgaria so ni used, ndio nimemuuliza why aseme Fastjet kaleta ndege Mpya wakati ukweli ni kwamba ni used zimekodiwa Bulgaria.
ATCL anakujaje hapa??
Kutoka TGFA kwenda ATCL....zote agency za serikali....ni aina tu ya uendeshaji,TGFA wawasimamie ATCL Ili kuboresha utendaji.Hata atcl wamelease. Check ur data sources
Cha Arusha siyo mchezowadau kama kuna anayejua ubalozi wa dar hapa arusha anielekeze, maana anataka nine nione hizo ndege zinazowaumiza vichwa. Na pia mniambie viza ni tshs ngapi?
Sio vyema sisi mnatuonyesha tu picha.
Sasa wanaopiga kelele ooh pangaboi, ooh sijui gharama ni zile zile, FASTJET wenyewe wamekiri ni gharama sana kutokana na soko lilivyo, naona mnaelewa sasa prezidaa hakurupuki
Kwani nyingine huwa zinatumia masaaa[emoji56]View attachment 416413 hio ya kwenu haina spidi kama hii ya kwetu ni dk 30 tu upo mwanza yani hata hujaanza kuhisi njaa umesha tua mwanawane
Mwingine ana baiskeli na mwingine anaenda kwa miguu lakini wote mnakwenda kutrgemea na uwezo wenu!Ndio maana jirani yako anaendesha BMW 870i na wewe unaendesha corolla ya mwaka 1988. kwa hio kila mtu atapanda kilicho ndani ya uwezo wake.