muhomakilo jr
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 16,157
- 15,450
Fast Jet wamelease ndege(siyo Mali Yao),ATCL ni Mali Yao....Kila la Kher ATCL mdogomdogo tutafika tu..
blaza hahahaha sio kweli aisee Mapanga shaa ni zaidi ya lisaa limoja na dakika kadhaa..View attachment 416413 hio ya kwenu haina spidi kama hii ya kwetu ni dk 30 tu upo mwanza yani hata hujaanza kuhisi njaa umesha tua mwanawane
Umekosea mkuu, ni mbele kidogo karibu na kwa Yuda-mascrepa mkabala na mama muuza vitumbua😀Upo unga ltd mkabala na nguzo mbili
Usikariri mkuuMmh hizo tairi zinaenda hivyo hivyo?
Then why useme "Ndege zao Mpya" wakat zieshatumika sana Bulgaria??Fast Jet wamelease ndege(siyo Mali Yao),ATCL ni Mali Yao....Kila la Kher ATCL mdogomdogo tutafika tu..
Ukisema Li CCM unanikumbusha Li Pumbaliccm na mambo yake ya hovyo limesababisha watz tukose uzalendo.mnatuvunja moyo sana,
Hata atcl wamelease. Check ur data sourcesFast Jet wamelease ndege(siyo Mali Yao),ATCL ni Mali Yao....Kila la Kher ATCL mdogomdogo tutafika tu..
Kwani atcl wametoa cash?Kumbe wamekodi... Mi nilizani wametoa cash... Kumbe kama Yanga ilivyokodishwa kwa Manji
Atcl wamekodishiwa ndege na serikali usitudanganye mkuu mpka mtukufu amesema tena kwa mdomo wake mwenyewe ndege ni za serikali na atcl wamekodishiwaFast Jet wamelease ndege(siyo Mali Yao),ATCL ni Mali Yao....Kila la Kher ATCL mdogomdogo tutafika tu..
Ndio maana jirani yako anaendesha BMW 870i na wewe unaendesha corolla ya mwaka 1988. kwa hio kila mtu atapanda kilicho ndani ya uwezo wake.Soko la usafiri wa ndege litakuwa na ushindani mkubwa ikiwezekana nauli zidhibitiwe na serikali
Unaonaje tukisema kutoka ubungo mpaka kimara nauli ni dola 200 kwa wote tushindane kwenye good customer care and serviceNdio maana jirani yako anaendesha BMW 870i na wewe unaendesha corolla ya mwaka 1988. kwa hio kila mtu atapanda kilicho ndani ya uwezo wake.
karibu sana mwanzaE 190View attachment 416401 View attachment 416402 View attachment 416403 View attachment 416404 Fastjet imeshasogeza ndege moja aina ya E190,ambayo itakuwa inafanya safari zake ndani na nje ya nchi.Ndege hiyo imekodiwa toka Kampuni ya ndege ya Bulgaria imeshaanza safari za ndani ya nchi,huku ikitazamiwa kuwa wataongeza nyingine ili kukabiliana na soko la ushindani wa usafiri wa anga Tanzania.
Hii ni dalili kuwa soko la ushindani kati ya ATCL na makampuni binafsi yanayofanya kazi ndani ya soko la ndani ya nchi inaongezeka.Meneja Mkuu wa Fastjet Tz John Corse anasema hili ni ingizo la kwanza tu,wapo mbioni kuongeza nyingine,ili kukabiliana na ushindani wa ndani na kupunguza ghalama za uendeshaji,ambapo hapo awali walipokuwa wanatumia A319,kampuni ilipata sana hasara na kujiendesha kwa kusuasua.
Leo nilikuwa mmoja wa walionja "utamu" wa E190 toka Dsm to Mwanza,ni mwendo wa dakika 50 tu mwanawane;mtu wangu Rockcity native tukutane Jembe Ni Jembe tupasue mifupa ya sato na balimi baridi bia ya mvuvi.
Wazee wa ruchelele,Malimbe na SAUT tukutane Goldcrest ....Sasa ni dakika 50 mate hayajakauka wala mama kuipua mboga mtu upo Dsm from Mwanza.
[HASHTAG]#ATCL[/HASHTAG] tutaendelea kukupenda [HASHTAG]#bombadia[/HASHTAG] ...Hatuachi mbachao kwa msala upitao.
Fastjet 'E 190'.Vipi kati ya hiyo ndege ya FastJet na Bombadier ni ipi inabeba abiria wengi?