Hatimaye Erickb52 awa Mod wa Chit-Chat

umelikoroga lazima ulinywe na ukileta za kuleta kusutwa tu ndio dawa muulize mwenzako yaliomkuta mpaka akahama mtaa

CUTE najua we ndo msaidizi wa Amyner so huwezi kinisuta
 
Last edited by a moderator:

Erickb52
baba yashakuwa hayo ndo maana nilisema itakuwa tabu maana izzo habar mbona za zamani sana we unakumbushia leo ee we nawe
Hehehee Meritta yazamani lazma kukumbuka
Btw nataka kuutema umod maana naona pm zinanipa pressure
 
Last edited by a moderator:
Ban me Pliiiiiiiiiiiiz!

Msamehewe zambi zenu.

Amen.
 
Hahahahaa chezeiya ndofu za asbh
Judgement na Mwanyasi lopokeni tu
Naona mmesahau mnaongea na b52 komboa la hatari...litawalipua hadi mjute

Naliheshimu sana bm52 ila nuclear ni zaidi,
Point yangu ni kua kijana wetu usipotee!
Kwani umesahau hasira za Amyner kwenye talk show ya Zinduna?
 
Last edited by a moderator:
Naliheshimu sana bm52 ila nuclear ni zaidi,
Point yangu ni kua kijana wetu usipotee!
Kwani umesahau hasira za Amyner kwenye talk show ya Zinduna?

Zilishaisha kalainika mwenyewe...
Akinizingua namla ban hata yeye
 
Last edited by a moderator:
We mchawi nini? Umejuaje kama kaiandikia hapo?
Coz mi alikwisha niPM kua yuko hapo.
Hapa ni kama tunaongea na Nyagi.
Judgement, wewe ni mtu mzima mwenzangu, lazima ujue mienendo ya vijana ili tuache urith mzuri. Erickb52 nakuomba ukumbuke yale uliyoyasema kwenye thread ya "Amyner"!
 
Last edited by a moderator:
bado nauguza maumivu ya moyo.....
Siamini mume wangu anachonifanyia......
Nilijua wewe shosti wangu kumbe umenizunguka....

Pole bibie, walimwengu sio wazuri, usijiskie vibaya ka ufikirie vizuri ati.....! lol... :tonguez:
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…