Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,554 Reaction score 11,485 Jun 25, 2012 Thread starter #261 Mr Rocky said: Wacha dear wangu si unajua tena mambo mswano hapa Erickb52 atajinyonga Mwambie Erickb52 asikie maana yeye anawaza tuu kuchunwa Njoo my wife wangu Yummy Click to expand... Mh inaniuma sana aisee
Mr Rocky said: Wacha dear wangu si unajua tena mambo mswano hapa Erickb52 atajinyonga Mwambie Erickb52 asikie maana yeye anawaza tuu kuchunwa Njoo my wife wangu Yummy Click to expand... Mh inaniuma sana aisee
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,554 Reaction score 11,485 Jun 25, 2012 Thread starter #262 Yummy said: Baelezee huyu bwana mdogo leo ni shughuli ya kumalizia ile mahari uliyokua unadaiwa na Kaizer Ataishia kula kwa macho tu huyo,asikutie presha Click to expand... Yummy najiweka pembeni naepusha msongamano! Mola nijalieee......nipate mwenzangu na mie Salamu kwa Mr Rocky Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Yummy said: Baelezee huyu bwana mdogo leo ni shughuli ya kumalizia ile mahari uliyokua unadaiwa na Kaizer Ataishia kula kwa macho tu huyo,asikutie presha Click to expand... Yummy najiweka pembeni naepusha msongamano! Mola nijalieee......nipate mwenzangu na mie Salamu kwa Mr Rocky
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,623 Reaction score 64,494 Jun 26, 2012 #263 Umeumia kama amefika kwako THEBOSS hesabu maumivu, yeye anatanguliza vijisenti siyo maneno, sijui kama Amyner atakukumbuka tena, pole sana. Erickb52 said: Hahahahaaa Mamndenyi huyu babu anaogopa sana kwa kuwa anajua anapenda sana kupita anga zangu kama alivyofanya The Boss kwa kipenzi changu Amyner eti anamconfort lol Click to expand...
Umeumia kama amefika kwako THEBOSS hesabu maumivu, yeye anatanguliza vijisenti siyo maneno, sijui kama Amyner atakukumbuka tena, pole sana. Erickb52 said: Hahahahaaa Mamndenyi huyu babu anaogopa sana kwa kuwa anajua anapenda sana kupita anga zangu kama alivyofanya The Boss kwa kipenzi changu Amyner eti anamconfort lol Click to expand...
M Mr Rocky JF-Expert Member Joined Oct 10, 2007 Posts 15,178 Reaction score 14,383 Jun 26, 2012 #264 Erickb52 said: Yummy najiweka pembeni naepusha msongamano! Mola nijalieee......nipate mwenzangu na mie Salamu kwa Mr Rocky Click to expand... Yummy hebu njoo muone Erickb52 huku anavyojililia Amekosa kila kitu sasa sijui atarudi kwa nani aise Erickb52 said: Mh inaniuma sana aisee Click to expand... Pole sana Erickb52 na nafikiri CUTE nae karibuni atakutema Amyner nae utamkosa hivi hivi
Erickb52 said: Yummy najiweka pembeni naepusha msongamano! Mola nijalieee......nipate mwenzangu na mie Salamu kwa Mr Rocky Click to expand... Yummy hebu njoo muone Erickb52 huku anavyojililia Amekosa kila kitu sasa sijui atarudi kwa nani aise Erickb52 said: Mh inaniuma sana aisee Click to expand... Pole sana Erickb52 na nafikiri CUTE nae karibuni atakutema Amyner nae utamkosa hivi hivi
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,554 Reaction score 11,485 Jun 26, 2012 Thread starter #265 Mr Rocky said: Yummy hebu njoo muone Erickb52 huku anavyojililia Amekosa kila kitu sasa sijui atarudi kwa nani aise Pole sana Erickb52 na nafikiri CUTE nae karibuni atakutema Amyner nae utamkosa hivi hivi Click to expand... Wote wanaweza kunitosha ila Amyner ndo mambo yote Mr Rocky Kufa na kuzikana Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mr Rocky said: Yummy hebu njoo muone Erickb52 huku anavyojililia Amekosa kila kitu sasa sijui atarudi kwa nani aise Pole sana Erickb52 na nafikiri CUTE nae karibuni atakutema Amyner nae utamkosa hivi hivi Click to expand... Wote wanaweza kunitosha ila Amyner ndo mambo yote Mr Rocky Kufa na kuzikana
Lucas JF-Expert Member Joined Dec 3, 2011 Posts 2,457 Reaction score 1,110 Jun 27, 2012 #266 kaka ukiwa mod... naenda kukusemea pale room 420....