Hatimaye Erickb52 awa Mod wa Chit-Chat

..kweli kazi NZURI. CUTE anataka salary yako hiyoo ya Umod@Erickb52

Cna shida ya hela mana hela nilizonazo naweza ilisha tz kwa miaka mi3 bila shida.....just dont even think about....it may suprise u one day
 
Last edited by a moderator:
mtu chake umekuja kwenye hii league
au umeachwa na yule mrembo wako
CUTE najua anamchuna tuu Erickb52 na wala hajagungua kuwa anachunwa
..ujue najua nyie wote ni washikaji zangu..ndio maana na mataka mrembo awape nafasi..ila mwenye SUMU atachukua mzigo
 
Kwan mtu akija kwangu kuna shida gani au ndio unawaza tu mambo yako unafikiri watu wote wako ivo.....dont jugde ze book by its cover men


Hii nimeipeda CUTE
Umepatia sana
 
..ujue najua nyie wote ni washikaji zangu..ndio maana na mataka mrembo awape nafasi..ila mwenye SUMU atachukua mzigo


hahahah mtu chake taratibu hapo
My wife Yummy akijua niko kwenye league hapa ndani hapatakalika
 

Marahaba hujambo.....sasa ww unamipesa kiasi gani mana nilizonazo sizani ka tz hapo kuna mwenye nazo sasa sijui kitu gani bado unaweza nishawish nacho hapo....na kama nimapenz yalikua enz za mababu saivi hakuna tena mana mauongo yamezidi kua mengi sana ivo yalishaharibu maana ya mapenzi
 


CUTE tema mate chini
Muulize Yummy anapata mapenzi aina gani kutoka kwangu ndipo utasema
Yaani kuna watu wana mapenzi haswa hata kuzidi yale ya wazee wetu
Wala usitishike na hawa masharobaro akina mtu chake na Erickb52 wana mapenzi ya u know this u know that and my father is a millionaire na anaanza u know nadrive classic benz in town and my father blah blah
My mother anafanya kazi ubalozi wa marekani and my aunt ni mjumbe wa tume ya katiba u know
 

Hahhhahha unaleta za babu asprin za kua obama ni mjomba wake hhhha ooh mi sipendi wananilazimisha kwenda state kila bada ya wiki2
Ama kweli dunia ya leo imeharibiwa na vijana yote
 
Hahhhahha unaleta za babu asprin za kua obama ni mjomba wake hhhha ooh mi sipendi wananilazimisha kwenda state kila bada ya wiki2
Ama kweli dunia ya leo imeharibiwa na vijana yote

Si ndio zao akina Erickb52 na mtu chake
yeye kila saa kujisifia yeye tuu
Mara mimi nishatembea nchi nyingi sana
State ni kama kijijini kwetu maana naenda kila wiki
Navaa nguo sijui za designer gani
Marra perfume yangu hapa town hakuna mwenye nayo
ahhh masharobaro bana
 
Hahhahha ndio mana nilitaka nishangae brazamen gan mbish ivi

Pale chuo ukienda unatoka na degree yako bila chenga
halafu chuo kimesajiliwa marekani
hapa ni tawi tuu
 
Sawa CUTE nakuja na maini uandae roast ya ukweli na juice ya mapera

Ndugu huwezi amini sijawai kusikia kuhusu iyo juice haki ya mungu iko kweli???
 
Last edited by a moderator:

Wapi asprin aje aone mistari yake uku imeibiwa hhhhhahaha watu wanatunga mradi tu mtu aingie king
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…