TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 13,749
- 21,202
Afrika bado sana, wakati serikali zetu zinapuyanga kwenye siasa za kuumiza wananchi wake na kufikilia kumuweka mtawala afie madaraka wengine wanasafiri.
MADA:
Nimekuwa nafuatilia hawa waarabu kwenye hili jambo la kurusha chombo cha anga za mbali, pamoja na kuwatumia baadhi ya wazungu ila kwa kiasi kikubwa wamefanikiwa.
Muda mfupi uliopita nikiwa nafuatilia updates za safari ya chombo hicho hakika wametengeneza historia, chombo cha delta v kimeachana na Hopeprobe ili kuendelea na safari yake iliyokuwa ya kasi ya 121,000km kwa saa na kupungua mpaka 18,000km/h ili kuweza kufanya utafiti.
Nimehisi kitu flani kuangalia tukio hili kwa waarabu hao jinsi walivyokuwa na furaha sana, wakipokea pongezi kutoka kwa wadau mbalimbali wakiwemo spaceX mnayojua inamilikiwa na nani.
Ni rasmi sasa katika safari ya awamu ya pili kuingia eneo la Mars.
Wakiwa tweeter👇🏾walikuwa wakitoa updates za kile kilichokjwa kikiendelea.
Na kutokea kwenye live streaming updates ya YouTube ilikuwa hapa 👇🏾.