Hatimaye Chadema yateka vijiji

Tunawaombea kila aina ya dua njema wana mabadiliko wote ktk kufikia azima ya kuliondoa jini ccm
In God we Trust
 
Wazo zuri sana maana chama tegemeo lao ni wananchi
Hiyo T-shirt Kali sana, wapeni wamachinga watutembezee na mpunguze bei,si chama kina ruzuku? Uzeni hata kwa ten ten.ambayo ni affordable.

In God we Trust
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…