Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 10,500
- 17,557
Mjomba punguza jazba. Huu ni mwanzo tu wa kuelekea 2020.Hongereni kuteka Kijiji ambacho hakina hata picha ya mwanakijiji mmoja.Hongereni kwa Photoshop ya Kijiji hewa.Ruzuku mumeshaibomoa tayari kwa picha hewa isiyo Na mwanakijiji hata mmoja ku justify wizi wa ruzuku kutwa mlikuwa kijijini Nyasa!!! Aisee chadema wezi
Duh kumbe mnampango wa kuiba tena kura? [emoji23]
Ndio maana yake!..Saguda47
Kinachotokea DRC kimetokea baada ya USA kusogeza meli zake , hata nyinyi mtasogezewa meli , punda bila mijeledi haendi .itakuwa ngumu kwa sababu gani? kwa akili zenu bado mnaamini kuwa 2020 mtashinda uchaguzi? akili zenu mwazijua wenyewe!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawajielewagi hawa watu. Hata simple logic ya mtoto wa primary hawanaNinyi wachumia lofindo ati?!
Mrema!View attachment 997653
Hiki ni kijiji cha Kamsamba , Jimbo la Momba mkoani Songwe , Pichani wanaonekana viongozi wa Chadema John Mrema na Katibu wa Kanda Nene ya Nyasa Emmanuel Masonga wakipiga Selfie kwenye nyumba ya mkulima
Nachukua nafasi hii kuwamegea siri makamanda wote na wadau wa demokrasia kwamba " KAZI IMEKWISHA "
Kinachotokea DRC kimetokea baada ya USA kusogeza meli zake , hata nyinyi mtasogezewa meli , punda bila mijeledi haendi .
Huachagi ubaguzi tu. Nilijua unaubaguzi wa kidini tu kumbe hata ukabila unao?Mrema!
Tells the story.
Ndio maana wanatumia Vifaru kipiga digidigi.Hawajielewagi hawa watu. Hata simple logic ya mtoto wa primary hawana
Huyo mwenye nyumba ya majani asahau kabisa kuwa na nyumba ya bati endapo CHADEMA ikishinda kwani Chama hakina akili ya kujenga Ofisi yao sasa wataweka mazingira gani ya mtu kujenga nyumba yake? Wataanza kujenga Ofisi zao Nchi nzima na kufumba na kufumbua miaka 5 inaisha hawajafanya chochote.
Ohoo! Mbona umejistukia kama mtu aliye jiharia?Huachagi ubaguzi tu. Nilijua unaubaguzi wa kidini tu kumbe hata ukabila unao?
[emoji23][emoji23] akili hamna. Wanajua wakimweka Mbowe ndani ndio Chadema inakufa kumbe ni sawa na kuchochea motoNdio maana wanatumia Vifaru kipiga digidigi.
Ndio maana wanatumia Vifaru kipiga digidigi.
Mimi jana nilikuwa Upareni yaani kuanzia wazee vijana watoto wameichukia A5 vibaya sana.[emoji23][emoji23] akili hamna. Wanajua wakimweka Mbowe ndani ndio Chadema inakufa kumbe ni sawa na kuchochea moto
Acha ubaguzi ni dhambi mbaya. Jitahidi kupanga mikakati ya kumsaidia jiwe maana anguko kuu linawasubiri 2020Ohoo! Mbona umejistukia kama mtu aliye jiharia?
Sasa kama unatumia Lufindo kufikiria si lazima tukusaidie.
Sasa nifahamishe ubaguzi wangu uko wapi? Huyo si Mrema?Acha ubaguzi ni dhambi mbaya. Jitahidi kupanga mikakati ya kumsaidia jiwe maana anguko kuu linawasubiri 2020
Kwahiyo katika mada yote jina Mrema tu ndio ulichokiona? Umezeeka vibaya wewe bibi. Umeshatongozwa lakini maana niliona unatafuta gigolo.Sasa nifahamishe ubaguzi wangu uko wapi? Huyo si Mrema?
Mimi sio Chadema ila chavichavi siwataki tumewachokaWananchi tupo na Chadema