Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,639
- 272,446
Hiki ni kijiji cha Kamsamba , Jimbo la Momba mkoani Songwe , Pichani wanaonekana viongozi wa Chadema John Mrema na Katibu wa Kanda Nene ya Nyasa Emmanuel Masonga wakipiga Selfie kwenye nyumba ya mkulima
Nachukua nafasi hii kuwamegea siri makamanda wote na wadau wa demokrasia kwamba " KAZI IMEKWISHA "