Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,955
- 95,277
- Thread starter
- #181
Umeeleweka vyema mkuu na hongera sana kwa ufafanuzi mwemaMkoa wa Lindi una majimbo (8) kama ifuatavyo;
1. Kilwa Kusini na Kaskazini.
2. Mchinga.
3. Lindi Mjini
4. Mtama.
5. Ruangwa.
6. Nachingwea na
7. Liwale.
Kati ya hayo CCM wametumia mbinu za kimafia kupitisha wagombea wa Mtama na Ruangwa bila kupingwa, lakini kwenye hayo majimbo vyama vya Upinzani hasa ACT na CHADEMA wanaenda kuongoza kwenye kata, na ndio hapo utajua kuwa CCM haipendwi lakini imeaaidiwa na Wakurugenzi. Mfano kwa Nape alipata shida sana 2015.
Kwa majimbo 6 yanayobakia yafuatayo yanaenda Upinzani moja kwa moja.
1. Kilwa linaenda kwa Bwege wa ACT.
2. Lindi linaenda kwa Mchinjita wa ACT.
3. Nachingwea linaenda kwa Dr. Mmoto wa CHADEMA.
Na majimbo matatu taliyobakia, ambayo ni ya Kilwa, Mchinga na Liwale yeyote anaweza kuchukua.