Mpemba Mimi
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 1,742
- 2,679
Awafundishe na hawa wachina wenzake wenye gereji - ili wajue kuzitengeneza hizo gari.
Niliona mzee. Naziina 0 Km soon. Hapo si ndio alikua Hyundai?
Mkuu tunaomba pictures za chuma zikiwa zimepack
Wanachofanya sasa hivi BYD ni kufungua dealerships katika nchi mbalimbali dunianiAwafundishe na hawa wachina wenzake wenye gereji - ili wajue kuzitengeneza hizo gari.
Hii ni habari njema sana. Africa inapaswa kushirikiana zaidi na China kiuchumi kuliko nchi nyingineMchina kaamua kuwasogezea huduma hadi nyumbani.
BYD wameamua kufungua dealership ya vyuma vya umeme Tanzania.
Sasa ni wakati wa kutembelea matako bila kuwazia bei ya mafuta, mchawi Tanesco.
Na kuaminia Mzee, utatuletea update zoteRo-Ro carrier iko njiani kutia nanga hapo DPW kushusha EVs, next month zitakuwa showroom
Serikali inapaswa iwavutie hawa jamaa wajenge kiwanda hapa TanzaniaWanachofanya sasa hivi BYD ni kufungua dealerships katika nchi mbalimbali duniani
Sasa hivi wameilenga hasa Africa kwenye kufungua dealerships
Lengo ni kuzitangaza, kusogeza huduma kama vipuri ambazo zitaendana na service na mechanic training
Hata mabasi na heavy duty trucks za Kichina zilianza hivyohivyo kuingia Tanzania
Ukitoa China wameshafungua factories Latin America, Ulaya, Asia, Middle East, Marekani na Canada (e-buses & heavy duty trucks)
Bado Africa, nchi ipi itatangulia kuwa na BYD factory?
Kiufupi in hii ni Powerbank inayotembea
Mtaweza kununua gari zero kilometer?Serikali inapaswa iwavutie hawa jamaa wajenge kiwanda hapa Tanzania
Demand ya magari ni kubwa na ukizingatia kuagiza magari kutoka nje ni gharama sana kutokana na kodi nzito za TRA
Ni heri hii kampuni ijenge kiwanda Tanzania. Watapiga hela sana
Gari za BYD ni bei nafuu, Wapo watanzania wengi tu wanaweza ku afford. Wanazo gari za milioni 25, 50, 80, 100 na kupandaMtaweza kununua gari zero kilometer?
Wamechelewa sana kuja!
Hii serikali ina ulimbukeni mwingi. Kwa kuwa wameingia acha tuoneWamechelewa sana kuja!