Hatimaye Bwanaharusi Aliyekimbia Ndoa Kanisani Arejea na Kufunga

Mwanzoni nilidhani ni wanasiasa tu wasio na msimamo lakini sasa ni dhahiri watz wa nyanja zote hatuaminiki!
 
Dada amepata Jaribu kabla ya ndoa, M/Mungu atamlipa uvumilivu wake na ujasiri aliouonyesha wangekuwa wengine wangekimbilia kujiua n.k ,ila ameonyesha jamii kuwa yeye ni jasiri na mtikisiko huu na wowote utaofanana na huu ataweza kuuvumilia, hongera dada M/Mungu akupe hekma na Maamuzi ya kujenga katika ndoa yako
 
Inasemekana chanzo ni Bi harusi kuendeleza mahusiano na mzazi mwezie na kwamba tyr ana mimba ya huyo X wake ss wamemaliza je?
Kwa kuziba masikio, Dunia ukiacha masikio yako On hata mpododo ulionao utaambiwa sio wako ni wa kichina
 
Back
Top Bottom