Hatimaye Boss kaoa

Nyie wanaume mnavyowala ovyo na kuwazalisha wanawake ovyo mnadhani nani victim mkubwa hapo ni mwanamke
Ndio maana maisha yenu Bado mnahangaika tu na Bado mpaka kua lishuke liwafikie utosini
relax, haujapoteza kitu mrembo. Jiamini thamani yako ipo pale pale kuachwa na boss haujapungukiwa chochote, trust me huenda hata Mungu KAKUEPUSHA.

najua ni ngumu ila try to relax.
 
1. Wakati anakuchezea, wewe ulikuwa wapi?
2. Wakati anakuchezea, wewe hukumchezea?
3. Wakati mnaanza mahusiano, ulimweleza matarajio yako kwenye mahusiano hayo?
 
I hate that word kuchezewa seriously na akili zako ulikua unachezewa or mlikua mnalizishana tamaa za miili yenu hebu amkeni ukiona hakuna muelekeokatafute mwingine or Kaa pembeni tafuta hela
 
Dawa ya vicheche ni kuvichenchede tu
 

Sasa hao 100 uliowachezea karma yao lazima ulipe don’t think you can get away with everything
Hoops mtu aneshindwa kula analia kila usiku kwasababu yako utalipa tu tena hapa hapa duniani either kwako Au Liza I chako mpk utubu
 

Punguza makasiriko kisichoridhiki hakiliki,njoo ni kuwowe au wewe ni singo mama?
 
Mbaazi akikosa maua ..…………..

Kuliko kuleta lawama huku bora ujirekebishe au umuulize mapungufu uliyo nayo akwambie utafute mwingine! Bila hivyo watajipigia sana wahuni!
Ndoa sio kwa kila mwanamke ila kwa mwanaume ndoa kwake ni muhimu!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…