Hatimaye Anti Ezekiel afunga ndoa

Huyu mbona sielewi nilishaambiwa ni kaka poa na humu kuna wengine wanasema ni Dada na ndio kaolewa wich is wich?

Ni dume au ni Jike?
 
Yeye pia binadamu so lazima tupeane nafasi nyingine za kujirekebisha cos ss sio watimilifu vituko vyake,mambo yake haviwezi mfanya asiwe mke bora cku zinaenda kasi sana,tumuombee kwa mwenyez mungu awe mke bora na wa mfano cos mm naamin hajaolewa kwa bahati mbaya ni mipango ya mwenyez mungu inshallah amjalie ndoa njema kufa na kuzika na yenye faida kwa kizaz chake chote,........m bora mbele ya mwenyezi mungu ni yule anaemuabudu na kumtegemea yeye...namtakia maisha mema na ya fanaka ktk ndoa yake
 
dah ongera sana mdada big up! na istoshe nakukubal sana jaman hongera zako. nakutakia maisha mema wew na mumeo.
 
mbona shemeji hajaonyeshwa?

kama ulikuwepo kichwani mwangu! Hii inaonyesha hakuna cha mtu kuolewa wala nini!magazeti ya shigongo yangekuwa yashapigana vikumbo kwenye harusi hiyo!! wafukunyuki hawajui, loh??!!

KIKUBWA HAKNA PICHA YA MUME WAKE?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom