Hatimaye Anti Ezekiel afunga ndoa

Sheikh Farid amedai kuwa alikamatwa na watu wa usalama na alikuwa akihojiwa pamoja na kupewa vitisho.
Source: itv breaking newz
Agekuwa mkristo kama ulimboka angekuja hana kucha zote,maana nchi hii watesaji wa wakristo wanajulikna kama yule jamaa wa ikulu,nina uhakika ni muislam,na kibaya zaidi wakristo wafuatao tayari wameshapewa sumu kama mwakyembe,mwandosya nk!kweli wa kristo tuna kazi,mpaka miaka mitatu iishe kazi ipo!
 
Unajua sasa hv wa2 hawaogopi tena yanini jamaa wamkamate yeye yupo pale kwa niaba ya waislam znz tunajua nchi haina dini so kwanini wamkidnap kama sio kununua shari with their damn money hah
 
Ereva wake anasema alishuka kwenye gari lake na kupanda gari lingine akaelekea kusikojulikana ,jiulize ni ukitekwa unajipeleka?walikuwa na hamu yakumwaga damu tu
 
hebu tutumie akili zetu,, sasa kama hajatekwa itakuwa amejiteka mwenyewe??? Ili iweje? Kama hatujui mambo bora tukae kimya tuhabarishwe....
Halafu huu ulimbukeni wa kuwaita MAGAIDI tuachane nao kukurupuka hakufai....BADALA YA KUJENGA MTAJIKUTA MNAZIDI KUBOMOA
 
wamemwachia safii ila baada ya uhamsho kutoa vitisho kuwa watafanya vurugu zaid nini ila yoye heri maana tunachotaka ni aman tuu tanzania
 
Imefika wakati watu kuchukua sheria mkononi. Jk na serkali yaje haiwezi kulinda amani.
Kama wewe ni mwananchi, una haki kisheria kulinda amani na kutetea.
Farid anatkiwa auawe yeye na ponda. Kuwapiga risasi tu hawa. Wasituchafulie amani yetu na watu wetu.

Unatoa povu upo nyuma ya PC jitokeze hadharani na uyaseme hayo ndo tutakuona shujaa, we unadhani CDM na CCM kwanini hawalizungumzii kama wewe unavyo zungumza, Hiyo si kazi rahisi kwenye 45 million people, Jaribu tuone
 
Msamehe bure mkuu mijitu inasukumwa na nguvu za kiroba.
Unatoa povu upo nyuma ya PC jitokeze hadharani na uyaseme hayo ndo tutakuona shujaa, we unadhani CDM na CCM kwanini hawalizungumzii kama wewe unavyo zungumza, Hiyo si kazi rahisi kwenye 45 million people, Jaribu tuone
 
ni usanii?au ulitaka atoke akiwa na mapengo na ndevu kanyolewa!,kwa hiyo mkweli ni yule dokta wenu wa vidonda aliye fumaniwa na mke wa mtu akatendwa halafu akajitia alitekwa.
 
tatizo la watanzania hasa wale wasio waislam sio wapigania haki ndio maana hata uhuru wamepigania waislam wakadanganywa kapigania nyerere waislam wanadai haki zao na kumbuka kwamba if you want peace prepare for war and judge the book trough it`s cover. Is the wear who knowns where the shoes peaches so non muislam piga kimya hauna unachokijua

wapashe hawajui kitu wanajitia kuchonga sana,
 
wakristo wafuatao tayari wameshapewa sumu kama mwakyembe,mwandosya nk!kweli wa kristo tuna kazi,mpaka miaka mitatu iishe kazi ipo!

wewe ni mpumbafu sana inamaana wamepewa sumu na waislam? Tuschangie upumbaf jaman, pelekeni uk fb. Ivi ujui kuna mhasham mmoja tena makafir wanamuhamini alidai jk ni chaguo la mungu kwa niaba yenu alimaanisha nani km c j christ. Kwenda zenu uko
 
wakati mnapinga kwamba ulimboka hakutekwa na usalma wa taifa leo hii mnatunga skendo ati shekh ametekwa na usalama wa taifa ama kweli mnajua kuwashika wajinga tehe tehe na bado usalama wa taifa utahusika sana huu ni mwanzo tu ani yaani behind the scene
 
subutu wamtishe Kamandoo Farid? nyinyi mnadhani ni mtu wa Kawaido siyo? kahojiwa kwa heshma zote. Huyu ni kati makamandoo 300 wa Osama katika vita vya Mujahidina Afghanistan. lazima aogopwe
 
Sheikh Farid amedai kuwa alikamatwa na watu wa usalama na alikuwa akihojiwa pamoja na kupewa vitisho.
Source: itv breaking newz

kama ni kweli usalama walimkamata ajiandae kutoka magamba na sijui nani atampeleka apolo!
 
huuuuuuu ni usaniii!!
huyu jamaa hakutekwa ni usaniii wa hawa kundi la boko haram ya Tawi la
Tanzania

Well said mkuu! mi nasema ukweli,japo mi ni muislamu, kuna uzi uliwekwa humu kuhusu huyu ms***g faridi kuwa ameghushi kutekwa ili aone impact yake, yaweza kuwa kweli mi simpendiiiiiiii!
 
"SIASA ISICHANGANYWE NA DINI" ni kauli fupi ambayo serikali inaitafsiri tofauti na ndio maana vujo zikitokea kwa kigezo cha dini wanazishughulikia katika uzito mdogo kuliko maandamano yasiyoleta maafa ya vyama vya siasa. Kutokana na hayo na ndio tulipofika hapa kwani kama wange-take action mapema kusingekuwa na fujo za namna hii kwa kigezo cha dini
 
Huyu haolewi.... acha uongo.... kuna malaya wengi ila huyu is beyond that...!!! Kajiharibu sana....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom