Hatimaye aliyeniibia pesa zangu amechomwa moto

Hivi umewahi kuibiwa kweli last king!??

'karma has no menu, you get served what you deserve'..!
Karma is not based on reality, it was just a way to control bad behavior.
Many people never go punished for their bad behavior!
 
Pole Sana chief, kibamba Kuna vibaka Sana wanaiba ngombe na kuvunja nyumba za watu na wanakuja kuiba Hadi huku gogoni

Ikitokea umerudi nyumbani mida imeenda ficha pesa sehemu hizi

Kwenye Banda la kuku, ngombe, nguruwe

Ficha jikoni kwenye kabati la vyombo

Ficha darini

Ficha mnapoweka viatu

Ficha store

Ficha mazingira ambayo mtu hatadhania na jitahidi mtu yeyote asione maana hata wife akija kuminywa tu anatoa mchongo
 
Duu, Watu wengine mna roho ngumuu, uliachaje Mia 9 inaning'inia kwenye suruali kirahisi rahisi hivyo?

Hiyo pesa unaingia ndani unaihifadhi sehemu salama, hata Paka akikuangalia unaacha kwanza, kati ya wanyama sijawahi kua na imani nao ni Paka.
noma
 
Hakuna kitu kinauma kama kuibiwa pesa. yaani mtu unajinyima, unajitesa kuwekeza pesa zako alafu mtu anakuja kuzichukua kirahisi tena anaenda kunywea pombe na kuwapa malaya.

Hawa wahuni walikua wawili waliniotea usiku nimelala fofo (usingizi wa mlevi) wakaniibia laki tisa na elfu thelathini. Kupitia dirishani pesa zilikua kwenye mfuko wa suruali ambayo niliivaa siku hiyo Na suruali yenyewe waliondoka nayo. Hiyo ilikua ni mwaka jana.

Kwa kuwa wahuni wote wa mtaani nawajua tena wengine nilisoma nao nikaona hapa nikienda polisi ni kujisumbua tu. Nikafanya upelelezi mwenyewe mpaka nikawagundua wezi wangu.

Ni madogo wahuni walioshindikana mpaka kwa wazazi wao na mpaka jela washakaa na muda huo pesa yenyewe yote walikua washaimaliza.

Nikaamua kuwapotezea tu lakini niliwalaani sana kwa sababu walinirudisha nyuma sana. Week mbili zilizopita mmoja kati ya wale wa wawili amekufa kifo kibaya sana.

Alichomwa moto na madereva boda boda baada ya kuiba piki piki ya mwenzao. Bado huyu mwingine nae siku zake zinahesabika.
Hahaha mwanangu Bayi uliibiwa lini Tena mzee
Halafu Qatar unaibuka lini mzee was Kazi.??

Halafu ushaanza zile misheni za Botswana??
 
Hahaaa wahuni waliniotea cc pinye. Namba zako za voda sina nilirenew line. nina zile zingine hazpatikan
 
Hakuna kitu kinauma kama kuibiwa pesa. yaani mtu unajinyima, unajitesa kuwekeza pesa zako alafu mtu anakuja kuzichukua kirahisi tena anaenda kunywea pombe na kuwapa malaya.

Hawa wahuni walikua wawili waliniotea usiku nimelala fofo (usingizi wa mlevi) wakaniibia laki tisa na elfu thelathini. Kupitia dirishani pesa zilikua kwenye mfuko wa suruali ambayo niliivaa siku hiyo Na suruali yenyewe waliondoka nayo. Hiyo ilikua ni mwaka jana.

Kwa kuwa wahuni wote wa mtaani nawajua tena wengine nilisoma nao nikaona hapa nikienda polisi ni kujisumbua tu. Nikafanya upelelezi mwenyewe mpaka nikawagundua wezi wangu.

Ni madogo wahuni walioshindikana mpaka kwa wazazi wao na mpaka jela washakaa na muda huo pesa yenyewe yote walikua washaimaliza.

Nikaamua kuwapotezea tu lakini niliwalaani sana kwa sababu walinirudisha nyuma sana. Week mbili zilizopita mmoja kati ya wale wa wawili amekufa kifo kibaya sana.

Alichomwa moto na madereva boda boda baada ya kuiba piki piki ya mwenzao. Bado huyu mwingine nae siku zake zinahesabika.
Dah
 
Duu, Watu wengine mna roho ngumuu, uliachaje Mia 9 inaning'inia kwenye suruali kirahisi rahisi hivyo?

Hiyo pesa unaingia ndani unaihifadhi sehemu salama, hata Paka akikuangalia unaacha kwanza, kati ya wanyama sijawahi kua na imani nao ni Paka.
 
Sehemu za kuweka pesa
1)Kwenye kifuniko cha Hanger ya nguo unafunua weka na kufunga
2)mchagoni usawa unaolala
3)kwenye picha za ukutani
4)tambara la deki chini
Sijaelewa iyo number Moja tafadhali
 
Hapowewe ndio bwegemtozeni hell zote hizo unazilaza kwenye mfuko was suruali!!!
 
Karma is not based on reality, it was just a way to control bad behavior.
Many people never go punished for their bad behavior!

True binadamu wanajali zaidi ndugu zao, washikaji, classmates, collegues? Maslahi binafsi.

Systems, uwazi, kuwajibishwa, hofu ya kufanya maovu na serious consequences ndio zinawadhibiti.
 
Back
Top Bottom