Hatimaye aliyeniibia pesa zangu amechomwa moto

Hii ni chai kabisa. Huwezi kuacha hela nyingi kiasi hicho kwenye suruali. Mimi hata iweje nilishindwa kabisa kutoa wallet au pesa mfukoni Ni Bora hiyo suruali niitupe uvunguni au niiweke chini usawa wa dirisha
Kuna watu wanalipwa posho mkononi anaona uvivu kwenda kudeposit. Inawezekana kabisa na mimi nimeshalala mara nyingi ndani nina milioni moja hadi mbili sema nnapoziweka hata ukinivamia hutazipata na pia sijioneshi.
 
Kwa kusoma tu naamini kabisa ulichosimulia ni kweli japo kuna watu wanaona kama ni uongo. Cha muhimu ujifunze. Unapolala usiku kitu chochote cha thamani usiweke sehemu ya wazi amabyo mwizi anaweza ''kuvua'' kwa ndoano kupitia dirishani.
Ni kweri kiongozi. Siku hizi nipo makini
 
Duu, Watu wengine mna roho ngumuu, uliachaje Mia 9 inaning'inia kwenye suruali kirahisi rahisi hivyo?

Hiyo pesa unaingia ndani unaihifadhi sehemu salama, hata Paka akikuangalia unaacha kwanza, kati ya wanyama sijawahi kua na imani nao ni Paka.
Yaani paka bwana Mimi huwa wananifurahisha na dharau zao tu Kuna wakati anakuangaliaa Kama vile anaangalia kinyesi yaani huwa natamani wangekua wanaongea niwasikie jeuri Sana huyu mnyama
 
Kuna watu wanalipwa posho mkononi anaona uvivu kwenda kudeposit. Inawezekana kabisa na mimi nimeshalala mara nyingi ndani nina milioni moja hadi mbili sema nnapoziweka hata ukinivamia hutazipata na pia sijioneshi.
Kuna siku nimetoa bank mzigo wa kununua mabati 3m huku na huku nikachelewa hardware jamaa kafunga. Nikasema sio kesi nitanunua kesho, nikazichimbia mchagoni position ya kichwa. Asubuhi na haraka zangu nikazisahau nimekuja kushtuka Niko mbali nikasema sio kesi kesho tena.

Jioni saa kumi napigiwa simu kuna wizi umetokea kwako! Nguvu zikaniisha,ila wakaniambia wezi waliingia ila hawakufanikiwa kutoka na TV imebaki ndani mlinzi wangu alienda kupiga misele akaacha Lindo kurudi ndio vibaka wakakimbia.

Yaani niliacha kazi zote hapo hapo nikaanza safari kurudi home. Nafika moja kwa moja nimeenda mchagoni nikainua godoro bahasha hio ikaanguka imenona vile vile. Hasira zote kwa mlinzi zikaisha kwanza. Jamaa walikata grill ila ila hapakutosha kutoa TV ukikwama. Lakini ili crack haikufaa tena.
 
Duu, Watu wengine mna roho ngumuu, uliachaje Mia 9 inaning'inia kwenye suruali kirahisi rahisi hivyo?

Hiyo pesa unaingia ndani unaihifadhi sehemu salama, hata Paka akikuangalia unaacha kwanza, kati ya wanyama sijawahi kua na imani nao ni Paka.

Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahhaahahahahhaha

Daaahh, Brooo nilikua nimevurugwa acha nilale mwepesi
 
Hakuna kitu kinauma kama kuibiwa pesa. yaani mtu unajinyima, unajitesa kuwekeza pesa zako alafu mtu anakuja kuzichukua kirahisi tena anaenda kunywea pombe na kuwapa malaya
Japo kuibiwa kunauma, ila i will never wish fire on any one, kifo cha moto si kitu hata cha kumuwazia mtu, ni kifo kibaya sana, tena kama mtu anafanya wizi nashauri awe anatemba na sindano ya sumu kabisa, au hata bastola, ili akitaka kuchomwa mto ajipige nayo kichwani, kifo cha moto hakihimiliki hatavkwa fikra tu
 
Duu, Watu wengine mna roho ngumuu, uliachaje Mia 9 inaning'inia kwenye suruali kirahisi rahisi hivyo?

Hiyo pesa unaingia ndani unaihifadhi sehemu salama, hata Paka akikuangalia unaacha kwanza, kati ya wanyama sijawahi kua na imani nao ni Paka.
 
Duu, Watu wengine mna roho ngumuu, uliachaje Mia 9 inaning'inia kwenye suruali kirahisi rahisi hivyo?

Hiyo pesa unaingia ndani unaihifadhi sehemu salama, hata Paka akikuangalia unaacha kwanza, kati ya wanyama sijawahi kua na imani nao ni Paka.
Amesema alikua amelewa ndio maana akalala fofofo yaani usingizi wa mlevi wa pombe za Bei chee
 
Hii ni chai kabisa. Huwezi kuacha hela nyingi kiasi hicho kwenye suruali. Mimi hata iweje nilishindwa kabisa kutoa wallet au pesa mfukoni Ni Bora hiyo suruali niitupe uvunguni au niiweke chini usawa wa dirisha
Sasa unakuta uvunguni kwenyewe kuna vumbi na mabuibui
 
Sio hao. Wale walikua wanakaa kwa mathias mitaa ya jamaica. Huyu alikua ni mkaazi wa kibaha maili moja maeneo ya loliondo. Walienda kumuulia kibamba. Sikumbuk ilikua kibamba ipi.
Poapoa,me nipo kibamba shule hapa,,,,ila Jamaica n mitaa yangu poa
 
Duu, Watu wengine mna roho ngumuu, uliachaje Mia 9 inaning'inia kwenye suruali kirahisi rahisi hivyo?

Hiyo pesa unaingia ndani unaihifadhi sehemu salama, hata Paka akikuangalia unaacha kwanza, kati ya wanyama sijawahi kua na imani nao ni Paka.
Paka wanatumika na INTELIJENSIA au sio
 
Hii ni chai kabisa. Huwezi kuacha hela nyingi kiasi hicho kwenye suruali. Mimi hata iweje nilishindwa kabisa kutoa wallet au pesa mfukoni Ni Bora hiyo suruali niitupe uvunguni au niiweke chini usawa wa dirisha
Kila mtu na viwango vyake mkuu, unakumbuka mzee Chenge aliwahi kusema 1.2Bilioni ni vijisenti? Alipoulizwa akasema, "kila mtu na viwango vyake" kwake yeye hi B ilikua ni vijisenti
 
Back
Top Bottom