Hatimaye akili imeanza kuwaingia HAMAS maana sikuwa nawaelewa kwenye kuachia mateka kisha kichapo kinarudi baada ya wiki

Nilidhani una hoja ya msingi kumbe ni kupuyanga tu.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 


1. Nilipanga kukupuuza ndugu lakini nadhani sitakuwa nimekutendea haki:





2. Kwamba Israel walipo kimeumana ila Rabbi wewe wa madongo kuinama unakenua kuwa umeshinda?

3. Ujinga mzigo; Kumbe hukuelewa kwa nini HAMAS alishiriki truce #1 terms zile?

4. Kumbe ulidhani terms zile zilikuwa za Israel?

5. Kwa Taarifa yako ile ilikuwa kumwonjesha asali.

6. Wanasema chovya chovya humaliza buyu la asali sasa kakikwaa kisiki cha mpingo!

7. Kwamba karuka maji katumbukia kwenye moto; halafu majinga mnakenua?

8. Serious set back (wajameni, Proved, na wapenda haki wengine) mburula anashangilia; anajielewa huyo?

9. Bure kabisa!
 
Sasa mnasubiri nini kupiga Albadil. Wewe uko buza unalalamika tu wenzako wanakufa. Wewe tulia
 
Pole sana. Nasikitika kukufahamisha kwamba,Hiyo laana itakurudia mwenyewe. Na kuhusu Israel kufutwa, hilo sahau kabisa. Halitakuja kutokea kamwe. Hiyo ardhi ya Palestina ni Mungu mwenyewe aliwapatia waimiliki. Wewe ni nani upingane na mpango wa Mungu? Wapalestina wawe wapole tu. Wakubali kuishi na Wayahudi. Wasiwachokoze na kuwafanyia fujo. Siku zote uchokozi wao kwa Israel huwasababishia hasara kubwa.
 
Unamjua Mungu wewe?
 

Hizi nadharia nilikuambia hazisaidii kitu, sasa hivi HAMAS wanaomba Israel iache vita ili waachie mateka, Gaza imegeuzwa shamba, Israel nao wamesema bad watapiga tu

 
Kwakua upkwenye slums hapo nairobbery (kibera slums) hata akili yako isipokuwa sawa siwezi kukushangaa

Inauma ila ndio ukweli, halafu imeandikwa kwenye kitabu chenu, wala sijasema mimi MTUME MUHAMMAD ALINYONYA ULIMI WA AL HASSAN Hadith Idadi 16,245:
 
Hizi nadharia nilikuambia hazisaidii kitu, sasa hivi HAMAS wanaomba Israel iache vita ili waachie mateka, Gaza imegeuzwa shamba, Israel nao wamesema bad watapiga tu


1. Kwani anayeomba mazungumzo nani?

2. Hiyo serious set back Kumbe ni ya kusimamisha mapigano?



3. Kumbe nani yuko kwenye very difficulty position?

4. Punguza mahaba mshindo, uta mimbwa!
 

1. Mkuu kwani nani hataki kuishi na mwenzake?



2. Maneno hayo yana maana yote kwako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…