Wacha watuhenyeshe ndo tukhoooome kuwalea TCCRA. na kugomea hatuwezi.
Hivi sie customers hapa hatuja uwezo wa kuwasumbua eehh?
hawa jamaa siku hizi wamekuwa unga unga kama sio mchele mchele yaan ukjiunga na kifurushi hakichukui muda kinakwisha halaf wanahakikisha hata salio lililo kuwa limebaki kwenye simu nalo kwishyney then wanakutumia sms kwamba muda wa kifurushi chako umekwisha na ukitaka kujiunga tena wanazingua mara network haipatikani mara wasiliana na huduma kwa wateja kwa ufupi ni usumbufu rekebisheni hilo bhana