Hatimae uhamiaji yametimia

niangalizie stephan kombo na sophia wanyancha,nafas ya konstebo.
 
ngoja nikupe ujinga angalia majina yalitoka kwa constebo hapo gazetini ni mangapi kisha gawanya kwa idadi inayotakiwa na uhamiaji yaani 100 then utapata jibu je kila nafasi moja inagombewa na applicant wangapi
 
kaka naomba nichekie jina la mzee sudi nafasi ya constebo.
 
wametia aibu!

kweli wametia aibu , haiwezekani wizara moja haina database kwa sababu eti mtu kaitwa zimamoto kama mkaguzi na wakati huohuo kaitwa uhamiaji kama konstable. je muda woote waliokuwa wanapoteza walishindwa kuchambua?

ni hayo tu
 
kweli wametia aibu , haiwezekani wizara moja haina database kwa sababu eti mtu kaitwa zimamoto kama na wakati huohuo kaitwa uhamiaji kama konstable. je muda woote waliokuwa wanapoteza walishindwa kuchambua?

ni hayo tu
ni kweli pia
 
vipi jamani majina ya mkaguzi mzaidizi wa uhamiaji hawajatoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…