Entreprenegro
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 601
- 132
Hatimaye uhamiaji wameshindwa kuvumilia kukaa na majina ya vijana, wayatoa majina hayo leo. Tafuta gazeti la Mwananchi la leo 26 May, 2014 ili ucheki jina lako. Kila la kheri wandugu mlioitwa.
Niko na kagazeti hapa naangalia angalia.
Mie kwa kweli simu ila nimeshangaa na kumpa hongera kuna mdada tulikuwa naye chuo yeye akichukua shahada ya elimu mie social science kaitwa nafasi ya koplo wa uhamiaji halafu tena kapata nafasi ya ualimu yupo huko TUKUYU anafundisha.
Ama kweli kila mtu na bahati yake jamani.

Ful amani kwake,niangalizie stephan kombo na sophia wanyancha.
Sorry mkuu naomba unisaidie kuangalia majina yafuatayo then unijuze! 1. ALLY KALEMBELI JUMA. 2.MTEULE SIMON PETRO.
nafasi gani uliomba?
Hapa kuna majina mengi sana ukinitajia ndo inakuwa haraka.