Mpe elimu nduguyo, baba yako, mama yako, wote ambao mnajua kuwa wanakusikiliza..
waambie kwamba baba, au mama, au ndugu yangu cpati ajira kwasababu ya CCM....
Naamanisha nn..?
Ndugu zangu hutapata ajira kama hakuna mtu unayemjua kwa hii system ambayo hawa jamaa wamejiwekea..
Sasa kama hata ridhione mlimpa kura za kishindo na hao hao bungeni wakawa wanawakejeli walio wachache kuwa nyie wenyewe ndio mnatuchagua sasa tufanye nn...INAMAANA HAMJATUCHOKA.
Wasomi, watanzania kama unaajira jua kuwa kuna nduguzo kibao hapa nchini ambao hawana kazi.
Tuungane pamoja kupigania hili, tusiwaachie tu hawa wanaotafuta kwani hata wewe kuna mdogo wako au mtoto wa mjomba wako hana hili wala lile hapa tanzania...
TUWENI SERIOUS KWA UCHAGUZI, WATANZANIA