Hatimae Ufaransa yawanasa magaidi walioua watu 12

Hatimae Ufaransa yawanasa magaidi walioua watu 12

Mada ilikuwa nzuri lakini imeingia mapepo naujinga humohumo.
 
Ufaransa Imefanikiwa Kuwaua Ndugu Wawili Waolifanya Mashambulizi Ktk Ofisi Za Gazeti Na Kuua Watu 12 Akiwemo Na Mhariri,magaidi Hao Walikuwa Wamejificha Kwenye Ghala Nje Ya Jiji La Paris,Police Walipata Taarifa Za Kiinjelijensia Na Hivyo Wakavamia Eneo Hilo Na Taarifa Zinasema Kuwa Kulikuwepo Na Kurushiana Risasi Kabla Hawajauawa.SOURCE:mimi mwenyewe,kama huamini acha.

Ha ha ha nimecheka hiyo source, yaani na wewe ulikuwepo uwanja wa mapambano!
 
ni kweli,maana shetani anahitaji kutetewa,ingekuwa Mungu yeye anajitosheleza hahitaji mwanadamu aliyemuumba mwenyewe kwa udongo eti amtetee,uislamu ni dini maalumu kabisa kutoka kuzimu.

Sasa mambo ya ushoga na usagaji yanayoishambulia ukristo ina maana mungu wenu kazidiwa nguvu na shetani kwenye kulinda dini yake?maana tunaona hadi ndoa za mashoga kwn nyumba zenu za ibada.
 
Mkuu wenzetu kule wanajua nini wanachofanya, kila mtu kwenye kazi yake, kwanza anafanya kazi anayoipenda na hata akipata majanga anajua familia yake itaendelea kuishi kama vile yupo, kwani serikali itawajari na atakumbukwa milele kwa ushujaa wake uliotukuka!! Sio hapa tuna kuwa wanafiki tu siku ya mazishi ndio utawaona wanajifanya wanauchungu na ahadi tele ukishazikwa tu, basi kama una kumbuka sakata la familia la yule askari polisi aliyeuawa akiokoa mabilioni ya pesa pale ubungo mataa nadhani ilikuwa 2007!!Mahita akaahidi watoto wake watasomeshwa hadi chuo kikuu, wako moro wanatabika ile mbaya seeikali ilipoulizwa inadai hiyo ahdi hawaikumbuki!!! Ndio maana kwenye mikasa lazima askari muogope!! Lakini wenzetu kwanza hayo majeshi yao wameyagawa katika vikosi mbalimbali kulingana na kazi husika (specialization) kama ni mambo ya kuokoa mateka wapo watu wa kazi hiyo kama ni wizi wa mabenki wapo, kama ni ugaidi wapo, kuna kama kikosi cha SWAT, shughuli yake huyo mmoja ni sawa na makomandoo kama 50 wa jwtz!!! Na kama mabasi 4ya ffu!! Kwani hapa hata kazi ni zile mwanangu hana kazi njoo huku , kwanza kitendo cha watu wanavamia ofisi huku wamevaa mask baada ya masaa kadhaa tu wamesha julikana na kuanza kutafutwa sio mchezo!!! Hapa kwetu ni mungu ndio anatulinda tu jamani, hatujawahi pata changamoto kubwa, hata hizo anazopata kenya tu si zitatusumbua sana!! Kwanza kuanzia wanajeshi wetu hawako kikazi utakuta mtu li jitambi hilo eti mwaanjeshi!!!yaani tukio la jana utadhani mtu unaangalia move ya action kumbe watu wako kazini!!! Halafu chaa ajabu hata maaskari wa kike nao wako fit!!hapa kwetu imebaki ni misifa ya kijinga tu eti kuongeza idadi ya washukiwa wa panya road nayo kova anaona ni sifa!!! Kufikia mwishoni mwa jan atakuwa amefikisha idadi ya 6000!!! Aliokamata.

Mkuu umenena .... natamani ujumbe huu wausome wale jamaa zetu wanaojifanya wako na "vyuti" muda wote .
 
Hawa mashahid walituondolea kirusi cha kashfa katika imani ,sisi tuna furaha sana kwa yaliyoyakuta na sisi tunatamani njia waliopitia wao

acha unafiki wewe mjinga,unashindwa nini sasa kupita hiyo njia? nyie mnachukia wakristo,chukua bunduki uende ktk kanisa lolote siku ya jmapili utakuta makafir wengi wanasali wafyeke kwa risasi uende zako peponi ukajipatie mabikra 78 na glasi 20 za juisi tamu,sio kuongea kinafiki eti unatamani wakati njia ziko wazi tu kufanya aliyowafundisha huyo mburula mwenzenu mtume muhammado.
 
acha unafiki wewe mjinga,unashindwa nini sasa kupita hiyo njia? nyie mnachukia wakristo,chukua bunduki uende ktk kanisa lolote siku ya jmapili utakuta makafir wengi wanasali wafyeke kwa risasi uende zako peponi ukajipatie mabikra 78 na glasi 20 za juisi tamu,sio kuongea kinafiki eti unatamani wakati njia ziko wazi tu kufanya aliyowafundisha huyo mburula mwenzenu mtume muhammado.

Ndio tatizo linalowasumbua jihad makafir amna elimu nayo kazi ni kupayuka tu nani amekuambia kuwauwa makafir bila sababu ni kwenda peponi ujui uislam unasema "kuishi vema na wasiokuwa waislam kama hawana uadui wa dhahir".awaislam tunageuka mvogo pindi mukituonyesha uadui wa dhahir.Alafu kati ya waislam na wakristo ni nani anamchukia mwenzake au unaongea tu ilimradi unaweza kuongea mangapi ya wema wanayofanya waislam lakini yanaonekana si lolote mfani angalia kwa Gadaf,Kiwete na aliyeyafanya Id Amin ndiyo anayoyafanya Mugabe,Mseveni na hata Kahame lakini sababu ni wakristo wanaachw.Angalia kafir mwenzenu mkapa alivyoliibia taifa ili kuanzia ubinafsishaji alivyoua wazanzibar na wale waislam wa mwembe chai mulikua kimya sababu ni mkristo.
NB:Na wanataka kuizima nuru ya mwenyezimungu kwa vinywa vyao.Na Mwenyezimungu ataikamilisja nuru yake japokuwa makafir watachukia"Qur an.
 
Hii ni laana. Pepo,jehanum zinaanzia hapahapa..huitaji kuuliza Sana. Kule Iraq na Nigeria ni mifano tu. Mti mwema hujulikana kwa matunda yake. Makosa yatatozwa.
 
Hii ni laana. Pepo,jehanum zinaanzia hapahapa..huitaji kuuliza Sana. Kule Iraq na Nigeria ni mifano tu. Mti mwema hujulikana kwa matunda yake. Makosa yatatozwa.

Bila kusahau matumda yanayo patikana vatican ya kutafunana jinsia moja na kukaa vikao vya kufanya usodoma ukubalike.
 
Bila kusahau matumda yanayo patikana vatican ya kutafunana jinsia moja na kukaa vikao vya kufanya usodoma ukubalike.

Rudi kwenye njia kuu mkuu. Damu ya wenye hatia inawatafuna waarabu. Ile ni Laana Mkuu. Worst comes to worst.Walianzisha kwa kuchinja watu, it is obvious hawataweza kuacha kuchinjana.Mark my words.
 
Hii ndio double standard ninayoisema. Hamas tangu lini ikawahurumia waisrael. Wakati the raison d'être ni kuangamiza wayahudi. So funny.!!
Na hii hapa chini...

[h=1]Declared sane despite killing 77 people: Anders Breivik gets 21 years in jail for Norway massacre.[/h]
Smirking mass killer Anders Breivik gave a fascist-style salute today as he was declared sane and sentenced to 21 years in jail.
The Norwegian right-wing fanatic will now go to prison rather than a mental hospital for his car bombing and shooting spree last July that left 77 dead.
As his handcuffs were removed the 33-year-old stood and raised his right arm straight out with a clenched fist in tribute to his deluded far right-beliefs.
Wearing a dark suit and tie and sporting a thin beard he gave a celebratory smile as the judges rejected the prosecution's case that he was an insane madman.
The self-styled militant extremist has always maintained he knew exactly what he was doing and was in control of all his actions.
Eight people were killed when he detonated a huge home-made fertilizer bomb at a government building in Olso on July 22 last year.
Disguised as a policeman he then drove to the annual summer camp of the young wing of the ruling Labour Party.
There he massacred 69 people, most of them teenagers, in a shooting spree on Utoya island. The youngest victim was 14.
There is no life sentence available under Norwegian law and although he must serve at least ten years it is unlikely that he will ever be released.
During the trial Breivik denied the murder charges against him claiming he was a political prisoner and was protecting Norway from multiculturalism.
Since his arrest, Breivik has said the attacks were meant to draw attention to his extreme right-wing ideology and to inspire a multi-decade uprising by "militant nationalists" across Europe.
Prosecutors had argued Breivik was insane as he plotted his attacks to draw attention to a rambling "manifesto" that blamed Muslim immigration for the disintegration of European society.
 
Dini inayojiita ya AMANI kwa unafiki hawajambo hata HAMAS eti nao wamelaani shambulizi hilo la Ufaransa unafiki mtupu,mkono wa kulia wanataka AMANI mkono wa kushoto wameficha MAPANGA Paris shooting updates / Hamas condemns Paris magazine attack, doesn't mention kosher supermarket - World Israel News | Haaretz
Huyu dini gani?

Anders%20Behring%20Breivik
 
duniani ukiongelea ugaidi unauongelea uisilamu wanaishi kama mazombi hawa jamaa hawana akili wanawaza kujilipua tu na kuua watu bila sababu za msingi eti wanasema wanaitetea dini ya kiislamu kama kweli mungu mnae muabudu nyinyi yupo kwa nini? mnahangaika kiasi hicho na huyo mungu wenu kazi yake nn? angalieni mambo mengine ya kufanya ambayo yatawaletea amani sio mnapignia kitu ambacho hakipo mnapaka langi hewani
 
Hawa masujaa wa imani nilijua watakamatwa tu, maana msako ulikuwa mkali sana ambao uliwahusisha Askari 80,000 wakifanya msako nyumba kwa nyumba mlango kwa mlango. Kwa sasa wanaogelea kwenye mito ya pombe.
 
duniani ukiongelea ugaidi unauongelea uisilamu wanaishi kama mazombi hawa jamaa hawana akili wanawaza kujilipua tu na kuua watu bila sababu za msingi eti wanasema wanaitetea dini ya kiislamu kama kweli mungu mnae muabudu nyinyi yupo kwa nini? mnahangaika kiasi hicho na huyo mungu wenu kazi yake nn? angalieni mambo mengine ya kufanya ambayo yatawaletea amani sio mnapignia kitu ambacho hakipo mnapaka langi hewani

Unaacha kumshangaa mungu aliekapigwa na Yakobo unamshangaa mungu wa waislam hali ya ushindi kwa waislam uioni? pamoja na kupigwa vita ila dini ndo inasonga mbele.Kweli nyinyi mnamungu mungu anayetetea ushoga na usagaji.
 
Ila kuna watu wa imani fulani kwa matusi, kejeli, propaganda hawajambo, hata kama mada haihusu dini wao lazima walete udini, dharau, kejeli kwa dini ya wenzao, sembuse atajwe gaid hassan al bahrain. Yaan kama wao na dini yao ndo wamekamilika. Shikamoo mzungu!!!!.
 
Din ya kiislam sasa inahusishwa na ugaid. Maisha yenu yatakuwa magumu sana. Ukitoka nje ya mipaka ya taifa lako. Mtasumbuliwa nakufuwatiliwa mpaka mkiwa msalan. Polen
 
siamini..kwani reliable source wanasema tofauti kidogo na wewe. ni kweli wameuawa na ni kweli kulikuwa na marushiano ya risasi lakini si kweli kwamba ni kwenye ghala bali kwenye nyumba ya mtu iliyopo takriban kilomita 28 toka jijini paris
Ufaransa Imefanikiwa Kuwaua Ndugu Wawili Waolifanya Mashambulizi Ktk Ofisi Za Gazeti Na Kuua Watu 12 Akiwemo Na Mhariri,magaidi Hao Walikuwa Wamejificha Kwenye Ghala Nje Ya Jiji La Paris,Police Walipata Taarifa Za Kiinjelijensia Na Hivyo Wakavamia Eneo Hilo Na Taarifa Zinasema Kuwa Kulikuwepo Na Kurushiana Risasi Kabla Hawajauawa.SOURCE:mimi mwenyewe,kama huamini acha.
 
Back
Top Bottom