wiseboy.
JF-Expert Member
- Aug 11, 2014
- 2,931
- 4,550
Ufaransa Imefanikiwa Kuwaua Ndugu Wawili Waolifanya Mashambulizi Ktk Ofisi Za Gazeti Na Kuua Watu 12 Akiwemo Na Mhariri,magaidi Hao Walikuwa Wamejificha Kwenye Ghala Nje Ya Jiji La Paris,Police Walipata Taarifa Za Kiinjelijensia Na Hivyo Wakavamia Eneo Hilo Na Taarifa Zinasema Kuwa Kulikuwepo Na Kurushiana Risasi Kabla Hawajauawa.SOURCE:mimi mwenyewe,kama huamini acha.