Hatimae nimefika Bagamoyo

GOLD BOY

JF-Expert Member
Jun 9, 2023
286
304
Habari zenu,

Kijana wenu nimefika Bagamoyo salama japokuwa sijafurahishwa na mazingira yake, mji umepoa sana magofu yamejaa mjini najiuliza serikali inashidwa nini kuiprotect Bagamoyo hasa historical sites?

Kingine nilikuwa napenda kujua wamissionari kipindi wameondoka nyumba zao walimuachia nani nimeuliza kwa sababu kunamagofu watu wengine wanaishi.

IMG_20230708_162355_995.jpg
 
Bagamoyo uende wewe halafu maswali utuulize sisi? Ulikwenda kufanya nini? Kwa nini usiulize wenyeji huko?
 
Kingine linikuwa napenda kujua wamissionari kipindi wameondoka nyumba zao walimuachia nani nimeuliza kwa sababu kunamagofu watu wengine wanaishi.
kuna lile eneo ambalo sasa hivi wanalo wakatoliki kama sikosei, pamoja na kile kijumba (au kanisa?) alipopita Livingstone. Au ulidhania Bagamoyo yote ilichukuliwa na wamisionari?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom