Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,902
- 95,409
Ni ka SUV ambako Kanatembea kilomita 40 kwa lita moja ya wese na kanaenda eneo lolote katika nchi hii!🤗🤗🤗
🤣🤣🤣Aisee! rafiki kanunua vieitee
Mbele nakaa mimi na wife wangu halafu nyuma kuna ka space kadogo ka kuweka rambo ya kitimoto!🤗🤗🤗Du na wewe unaitwa mwenye gari, hongera sana
Duuu Mtu anaingiaje humo? Lbda mtoto wa miaka miwili kushuka chini.Ni ka SUV ambako Kanatembea kilomita 40 kwa lita moja ya wese na kanaenda eneo lolote katika nchi hii!🤗🤗🤗View attachment 1714780
kwahiyo wewe umenunua gari kwa ajili yako na my wife wako tuu au sio!Mbele nakaa mimi na wife wangu halafu nyuma kuna ka space kadogo ka kuweka rambo ya kitimoto!🤗🤗🤗
Sasa hivi hatuhitaji tena kwenda Mbezi Loius kwa ticket za kwenda home. Ni kujaza tank mafuta tu.Mbele nakaa mimi na wife wangu halafu nyuma kuna ka space kadogo ka kuweka rambo ya kitimoto!🤗🤗🤗
🤣🤣🤣Sasa hivi hatuhitaji tena kwenda Mbezi Loius kwa ticket za kwenda home. Ni kujaza tank mafuta tu.
Bei ngapi na kodi?Ni ka SUV ambako Kanatembea kilomita 40 kwa lita moja ya wese na kanaenda eneo lolote katika nchi hii!View attachment 1714780
Hapo mademu hawa katiziiiDu na wewe unaitwa mwenye gari, hongera sana
Nakaona tu huko juu kana Chura kwa mbaaali!! 🥵Ni ka SUV ambako Kanatembea kilomita 40 kwa lita moja ya wese na kanaenda eneo lolote katika nchi hii!🤗🤗🤗View attachment 1714780
🤣🤣🤣Nakaona tu huko juu kana Chura kwa mbaaali!! 🥵