Hatimae nimefanikiwa kuvuta ka babywalker kangu!

Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
39,901
95,385
Ni ka SUV ambako Kanatembea kilomita 40 kwa lita moja ya wese na kanaenda eneo lolote katika nchi hii!🤗🤗🤗
G.jpg
 
Mbele nakaa mimi na wife wangu halafu nyuma kuna ka space kadogo ka kuweka rambo ya kitimoto!🤗🤗🤗
Sasa hivi hatuhitaji tena kwenda Mbezi Loius kwa ticket za kwenda home. Ni kujaza tank mafuta tu.
 
nimeogopa kuingia ndani zaidi nisijepeperusha vidosho wa JF mana lazima utaopoa tu
 

Attachments

  • 1614624301210.png
    1614624301210.png
    92.2 KB · Views: 1
Unavyopenda wanawake wenye matako makubwa(chura) siku umepata ataweza kuingia kwenye hiyo gari kweli?

Mkeo atakuwa hana tako(chura)
 
11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom