Hiyo 150000 niliigawa 100000 nilinunua godoro,, 30000 nikalipia chumba miezi mitatu,, nyingine nikanunua baadhi ya vyombo mhimu pale magetoni maisha yakaanza.150,000/- ni kodi ya miezi mingapi mkuu.?
Hongera kwa kuanza kujitegemea.
Pole mkuu kwa hilo,, pia nashukuru kwa hongera, nipe kisa chako hata kidogo kipi kilisababisha mpira kurudi kwa kipa?.Dah nimeumia sana kuusoma huu uzi mana Mimi nimetoka kurudisha Mpira kwa kipa siku si nyingi, hongera sana mkuu.
Tafuta kwanza kitanda ambacho hakina kelele na godoro zuri pamoja na feni uanze kuchakata mabintiNikweli lakini bado sijaanza,,
ni wapi huko?? Elfu kumi kwa mwezi, bila shaka huduma zingine kama umeme na maji hazipo.Mkuu mimi nilianza kulala chin kabisa,.ilinibid nichukue kipande cha ubao uliokua umebak wakat wa ujenzi ili nikilalie nisiumie na barid ya sakafu, shuka nilikua nalo 1 tu la light blue lililokua limeunguzwa na pasi katikati...
Namshukuru mwenyezi mungu sahiv sijafika hata miaka 25 ila nimeshanyanyua nyumba nimepaua na sahiv nipo hatua za finishing...
Ukikaa kwa ndugu huwez kupiga hatua atakutumia kujinufaisha yeye na akiona hutak kuwa mtumwa utageuka kuwa adui yake no 1 ,,,, hasira nilizo nazo sasa za kutafuta maisha zimechangiwa na manyanyaso ya ndugu,,
Pambana usiruishe mpira kwa kipa, achana na anasa zisizo na faida, jitahid u save pesa
kilichofata Mungu ndo anajua.Unajishughulisha na nini mkuu?Mkuu mimi nilianza kulala chin kabisa,.ilinibid nichukue kipande cha ubao uliokua umebak wakat wa ujenzi ili nikilalie nisiumie na barid ya sakafu, shuka nilikua nalo 1 tu la light blue lililokua limeunguzwa na pasi katikati...