utafiti
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 12,783
- 7,675
Upo tayari kwa ndoa? Au kisa umeona barua ya posa ndo umepata mzuka...
Nipo tayari kweli....kweli kabisa
Upo tayari kwa ndoa? Au kisa umeona barua ya posa ndo umepata mzuka...
Nipo tayari kweli....kweli kabisa
Upo tayari kumpa bi harusi wako ashike simu yako?
teh hapa sasa nakutafuta tu maneno
Hahaha
Umenikumbusha wallahi.....natamani kama niposwe tena hihihihihi
Inahusika, uaminifu ndo nguzo kuu ya mahusianoLakini simu sijui inahusikaje hapa. Evelyn nipe basi moyo bana
Inahusika, uaminifu ndo nguzo kuu ya mahusiano
sasa wewe simu yako hutaki ishikwe
nahisi una michepuko, kazi za nje, unaocheza nao mechi za kirafiki n.k teh
Kama hakuna kitu kwenye simu yako kwanini hutaki iguswe sasa?Wala sio Evelyn sioni umuhimu wakusachi kuna nini kwenye simu yangu, mbona mm sijauliza yake?
Ukiweza kuandika jifunze pia na kuandaa taraka
Kama hakuna kitu kwenye simu yako kwanini hutaki iguswe sasa?
Mmh unanitishaKuna mengi kwenye simu yangu, ila sio mambo ya michepuko. Utakuta mambo ya madeni na ishu za hela. Ahadi za watu na mambo kibao.... Simu niachie tu maana wengine tunatumia zaidi ya mawasiliano
Mmh unanitisha
Nimehamisha mawazo from kukuhisi una michepuko tu ujambazi ha ha haHahaha kwanini