Magnificient
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 1,177
- 734
- Thread starter
- #81
Je umekubali kuishi nae katika shida na raha, ugonjwa na uzima, hadi kifo kiwatenganishe?
Hiki kiapo ni kikubwa sana...Ndicho kinalaani watu ila watu hawajitambui....Unaapa kisha unakuja kuvunja kiapo ndip tunapobakia katika laana ya uzinzi....
Tumekuwa pamoja katika hali kama hizo kwa muda sasa, tunamuomba MUNGU tuzidi kuweza