BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,494
- 4,076
uko bar tena nini uandikavyo?? kweli hushauriki na ni kichwa ngumu, useless guy!!!..mama's boy, eiwwww!!
Wadau mmeshamsema sana kasikia na siku nyingine hatarudia tena kumnyima mkewe huduma. Msameheni bure.
HAYA THREAD IMEFUNGWA KWA USALAMA WAKE.
Baaada ya kukata mawasiliano ya tendo la ndoa na mke wangu kumuadhibu kwa kukorofishana na mama yangu na yeye kuniambia nimtaftie mwanamume wa kumliwaza kwa hasira niliamua kuamua kula baa,kuchelewa kurudi na kuhama chumba HATIMAYE mke wangu kuniomba samahani kwa upole na unyonge na kuniambia kuwa hatorudia tena kuniambia maneno kama yale na ile hamu alokua nayo imeisha. MNAONA? HAWA WANAWAKE UKIWACHEKA NAO WANAKUPANDIA KICHWANI,
Ukiona kakuomba msamaha ujue keshapata bwana na ameamua kula na kipofuBaaada ya kukata mawasiliano ya tendo la ndoa na mke wangu kumuadhibu kwa kukorofishana na mama yangu na yeye kuniambia nimtaftie mwanamume wa kumliwaza kwa hasira niliamua kuamua kula baa,kuchelewa kurudi na kuhama chumba HATIMAYE mke wangu kuniomba samahani kwa upole na unyonge na kuniambia kuwa hatorudia tena kuniambia maneno kama yale na ile hamu alokua nayo imeisha. MNAONA? HAWA WANAWAKE UKIWACHEKA NAO WANAKUPANDIA KICHWANI,
mhhhhh jando zirudishwe tu
kazi ipo wanawake ni waongo mfano hakuna..
aisee this one here is a brain dead idiot, sorry to say but he surely is.
hivi utu uzima wako haukufundishi kuwa wanawake wapo very tricky? mwenzio amefanya hivyo kwa sababu nyingine nyingi tu but I doubt if ati she is sorry "for what she did"...na unavyojiona mwamba ndio anazidi kukuona pimbi. kama amefanya hivyo for the children's welfare je? kuna mtu anamridhisha elsewhere maana wewe ****ari yako ni ya "dhahabu"...upuuzi
siku ukija kugundua that ur wife is far wiser than you think...karibu uje ulie hapa JF maana umeamua to get ur bedroom drama exposed here!
Baaada ya kukata mawasiliano ya tendo la ndoa na mke wangu kumuadhibu kwa kukorofishana na mama yangu na yeye kuniambia nimtaftie mwanamume wa kumliwaza kwa hasira niliamua kuamua kula baa,kuchelewa kurudi na kuhama chumba HATIMAYE mke wangu kuniomba samahani kwa upole na unyonge na kuniambia kuwa hatorudia tena kuniambia maneno kama yale na ile hamu alokua nayo imeisha. MNAONA? HAWA WANAWAKE UKIWACHEKA NAO WANAKUPANDIA KICHWANI,
mi si nikwambia kaniaribia siku yangu that day!YANI JANDO VIRUDISHWWE TU!kama na huyu nae anajiita mwanaume tena mwenyewe anasema mwanaume rijali basi wanaume rijali inabidi tu watafute fasili nyingine ya neno hilo!mwanaume kabisa uliyekatwa g****i unathubutu kuongea ujinga kama huu?mi sielewi jamani ,serious sielewi kabisa!
Count yoursefl the worlds most unfortunate guy.