Hatimae mke wangu kasalimu amri

Mambo ya ndani hayo mnaleta
JF? Hamkupita Jandoni? Angalao hata mjomba akufundishe jinsi ya
kuendesha siri za ndani!! Pole

Atamie hua na shangaa,cri zenu mnazianika mby zaidi hazina mafunzo,kl m2 mkewang nimemfanyia ivi,mume wng nimemkoleza ivi,looh
izo zota ni zao la kuwachwa kwa mila na desturi za kitanzania,km vp jisifuni na muache no za cm bc 2wapongeze kwa ushindi wenu.
 
Oh... Thats my girlie, hebu kam zis wei beibee...

Nooo! Zat wei I'll siin bai cacico


Eti hii amri ya huyu Asprin feki.....si tuisigine tu.....
Orite?

RR asikudanganye mtu! Asprin ni ODM original ana wafuasi kama Julius Malema wa SA! Asipotusoma mwenyewe wafuasi wake watatusoma na kumjulisha. Hapo sasa kelele zake sio za kawaida na hata picha zako ulizozisahau utazikuta jamvini.

Kwani mwaJ unaogopa kelele?? Hebu come here....nikupe siri za sirini

Kuna msiri wangu Kaizer atakusikia! Ohoooooooooo!

@Kaizer ni 'ndugu' yangu.....hana noma....infact sio msemaji kiviiile

Ngoja aje atakujibu

Am watching..... :frusty:
Someone will get be killed soon....
 
Uiiiiw watoto wa mama utawajua tu khaaaa eti umemuadhibu kwa kukorofishana na mama yako...sasa kama mama yako anamakosa je maana wamama wengine ngebe kweli aisee...pole yako sana sana aisee nampongeza sana huyo mkeo..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom