Kama hujamzoea mpaka leo pole.
Wenzio waliamua mpaka kufundisha....alichoweza kufanikiwa ni kutumia herufi ndogo. Maana zamani alikua anatandika herufi kubwa tu.
Tunao mfaham makosa yake ya uandishi tunarekebisha wenyewe kimyakimya wakati tunasoma.
Kwa uandishi huo wa sasa mwenzio hapo kama ni shule basi amefanikiwa kupata shahada iliyotukuka.