Hatimae Google Adsense wamenilipa USD 137.6 leo

We nawe mchoyo Wa maelezoo hivi alikwambia uje ujishebedue hapa. Kama umelipwa na Google ili iweje eti unatupa mamba ya cimu tulikwambia tuna vocha za kukupigia eheee hahaha ebu tupisheee
 
Baada ya kuanza kutangaza matangazo ya Google,Leo nimelipwa pesa hiyo hapo juu japokuwa kwa akaunti yangu sijaiona,inachukua mda gani kureflect kwa account yangu?

sija dig zaidi namna ya ku claim pesa maana nami nina uro kadhaa walisha nitumia code zao kwa posta lala nini kinafuta?!
 
Baada ya kuanza kutangaza matangazo ya Google,Leo nimelipwa pesa hiyo hapo juu japokuwa kwa akaunti yangu sijaiona,inachukua mda gani kureflect kwa account yangu?

Kaka kwenye kulipwa na Google Inc Ireland kwa content providers wa Africa kuna njia kuu tatu:-
1. Google wanakutumia cheque ambayo huchukua si chini ya week mbili kukufikia, na baada ya hapo unatakiwa uende kudeposit cheque yako, hapa pia huchukua takribani week hadi week mbili kwa kuwa bank yako lazima wafanye clearence na Google Ireland, na baada ya hapo malipo yako yata reflect kwenye account yako, bank za Tanzania zinakata takribani $ 30 kwa huduma hii.
2. Unawaomba Google wafanye wire transfer hii ni rahisi na huchukua siku mbili au tatu, Google Inc wanaingiza hela payment direct kwenye account yako
3. Unatumia western union

Chaguo ni lako, kwa kuwa Google wanakupa option zote hii na wewe unachagua moja.

Kazi kwako!..
 
Maswayetu blog

Una viwers kwa kukadilia ni kama wangapi kwa siku?

Mimi nna viewrs mpaka elfu hadi elfu mbili kwa siku, wanatosha kuweka hayo matangazo yao.

Unapataje hayo matangazo ili uyaweke?

Na blog ikiwa na content ya kiswahili kuna tatizo? ya kwangu content ni kiswahili na imefikia visitors elfu 40 tokea January.

Yoyote pia anawezq nisaidia majibu hapo.
 
Ili upate matangazo inabidi uombe wakati blog yako inatumia English,I mean Swahili is not supported language,there after mengine Yanafata eg visitors etc

Dah sasa unanishauri nifanyaje kwa sasa?

Nikibadili lugha kwa ss nitakuwa nmechelewa?

Na nikishabadili lugha naitajika niwe napost ngapi za kingereza ndio nijisajiri? au nisubiri muda gani ndio nijisajiri?
 
Dah yaani watu ni wavivu wa kufikiria. Yaani wameona mwenzao anapata wanataka tu kuingia kichwa kichwa bila kuwa na uelewa wowote wa hiyo biashara. Wabongo wanapenda kuigana sana
 
je unaweza kulipwa kama hujaweka matangazo ?
tupe mbinu uliyotumia nasi tutumie mkuu mbona kimya

Ni simple ukishajiunga google wanaweka matangazo yao unalipwa kulingana na watembeleaji au watu wanaobonyeza matangazo,ukiwa na watembeleaji wengi ni poa zaidi Kama unao wachache wawe wanaclick matangazo ila usiwe unabonyeza mwenyewe sababu google wanajua watu wanaobonyeza wanatoka wapi na wanatumia kifaa gani iwe computer au simu
 
Wakuu ! Je,si vema kuwauliza akina Michuzi na wenzake kama Pasco na kutuambia siri yao ya kupata fedha kwa matangazo ?
 
Last edited by a moderator:
Baada ya kuanza kutangaza matangazo ya Google,Leo nimelipwa pesa hiyo hapo juu japokuwa kwa akaunti yangu sijaiona,inachukua mda gani kureflect kwa account yangu?
nc ongera sana
 
Dah yaani watu ni wavivu wa kufikiria. Yaani wameona mwenzao anapata wanataka tu kuingia kichwa kichwa bila kuwa na uelewa wowote wa hiyo biashara. Wabongo wanapenda kuigana sana

Ukitaka kumficha kitu mtu mweusi kiweke kwenye maandishi "kitabu", Kabla sijaingia kwenye biashara ya Adsense ilinichukua takribani week moja ku research na baada ya hapo nilipata bahati ya kupata kitabu cha "jinsi gani ya kuwa pro wa adsense" chenye kurasa 204 nilikisoma na hadi sasa huwa nakirudia vilevile subscribe google adsense huwa wanatuma newsletter kila week na zina shule ya hali ya juu.

Mbali na kuacha nafasi za google adsense inabidi ujue ni sehemu gani exactly inalipa hela nyingi, kama top banners, right hand side banners na size, vilevile ni lazima ujue kucheza na bidding na content ya aina gani inakuwa na bidders wengi zaidi, inabidi ujue utaalamu wa ku insert ads katikati ya makala, hii ni rahisi sana kwa watu ku click ads.....

Yako mengi sana ambayo si rahisis kuyajua kwa post moja au mbili hapa JF, na mbali na google "adsense" kuna makampuni mengine mengi yanayoweka ads kwenye website ambao ni washindani wa google adsense.....

someni sasa, ingia youtube ingia google yahoo etc

My two cents
 
Baada ya kuanza kutangaza matangazo ya Google,Leo nimelipwa pesa hiyo hapo juu japokuwa kwa akaunti yangu sijaiona,inachukua mda gani kureflect kwa account yangu?
Hongera! Google Adsense wanalipa kila mwezi account yako ikifikia $100 + hata hivyo kabla hawaja deposit pesa kwenye account yako. Itabidi kwanza u verify account yako e.g address, payment methods, tax info, etc hizi information zinatakiwa ziwe updated prior to 15th of each month.

Goodluck!
 
asante sana kwa kunifahamisha mkuu sasa nimekuelewa
itabidi nianze mchakato huu sasa
Ni simple ukishajiunga google wanaweka matangazo yao unalipwa kulingana na watembeleaji au watu wanaobonyeza matangazo,ukiwa na watembeleaji wengi ni poa zaidi Kama unao wachache wawe wanaclick matangazo ila usiwe unabonyeza mwenyewe sababu google wanajua watu wanaobonyeza wanatoka wapi na wanatumia kifaa gani iwe computer au simu
 
From my perspective, AdSense is a real business ambayo inafanya vizuri na contextual advertising based on your target niche. Making money is not a overnight process!
 
Nimeamini kweli sisi Wa afrika hatupendani tena hasa sisi Tanz Maania, ivi ukimwelewesha mtu kitu kama haki unadhani kwa yeye atafaidika sana au?
Basi jamani tulieni niwaambie kuhusu Google Adsense.

Mimi ni web developer kutokea Tanzania na nipo katika hii sector takribani miaka mitano sasa na ninafanya katika katika Envato Market soko lililopo Australia kama mtengeneza wa php script na kama muuzaji katika soko hilo, link ya profile yangu hii hapa ST2014 | CodeCanyon

Miaka ya nyuma nilikuwa nikitumia Google Adsense ni ilinipatia faida sana, mala ya kwanza nilipata USD 145 = Tsh 250,000.

Kwanza Google Adsense nini?
Google Adsense ni tawi la kampuni ya google ambalo linajihusisha na masuala ya matangazo online ambapo matangazo hayo huweza kuonekana katika mtindo wa banner (460px x 80px n.k), na maandishi (Text).
Katika Google adsense kuna vitu viwili kuna Google Adsense Publisher na Google Adsense Adword (Google Adword).

Unacho takiwa wewe ni kujisajili kama Publisher yaani mtangazaji wa matangazo.
Kujisajili nenda http://adsense.google.com kisha fuata hatua za usajili.

Ukifika hatua ya pili watangambia uweke jina la Domain name weka jina domain name yoyote ambayo unajua ina lugha ya English kisha SUBMIT form yako, utaambiwa usubiri ndani ya masaa machache subiria, kisha utaona ujumbe katika email yako kwamba "Your account for adsense was approve" na kutankuwa na kiunganishi ambacho kitakupeleka katika kukubali mashaliti yao na kisha kupewa akaunti yako ya adsense publisher.

Ukisha patiwa akaunti utaona kuna mstari mwekundu utatokea katika Dashbord yako ya adsense na watahitaji upaste code katika website yako ulioombea sasa wewe unatakiwa kuondoa kwanza ile domain ulio ombea na kuweka domain yako ambayo inalugha ya kiswahili kama website yako ina lugha ya kiingeleza basi katika form yako utatakiwa ujaze domain name yako.

Hii njia ni njia ambayo itakuwezesha kuwa na akaunti ya adsense kwa wale wenye blog zinazotumia lugha ya kiswahili.

Je! adsense wanalipaje?
Adsense wanalipa kila mwisho wa mwezi yaani tarehe 16 au 22.. inategemea na akaunti yako uli weka pini yao siku gani na kama akaunti imefikisha dola 100.

Pini ni nini?
Pini ni namba ambazo unatumiwa katika P.O. BOX yako uliyo jaza katika form yako wakati wa kujisajili, ambapo akaunti ikifika dola 10 ndiyo wanakutumia PIN hiyo katika P.O. BOX yako.

Na njia nzuri ya kupokea pesa kwa adsense ni BANK, na bank nzuri isiyo na makato ni NBC, mimi nilitumiwa USD145 na nikapokea kama ilivyo katika akaunti yangu ya NBC.

Haya maelezo ni kwa ufupi tu lakini kwa ulefu zaidi uanweza wasiliana nami kwa namba hii 0657 315 394.
Kwa anae hitaji Domain name ninaweza nikamsaidia kwa TSH 50,000 pamoja na kumuunganishia katika blogger yake pamoja na adsense.
 
umesahau email approve lazima zije mbili na si moja then kwa AdSense policy mpya blog Yenye unsupported language nirisk kwani ads hazionyeshi, ina show blank
 
Habari wakuu mimi pia ni publisher zaidi ya miezi 7..kuna tatizo nmepata yani adsense zangu zinapotea baada ya dak 5 nikishare facebook tatizo ni niini???
 
Kuna jinsi ua kufanya ili Adsense iweze support kwa language zote.
Call me for more help 0657315394
 
Back
Top Bottom