Hatimae CHADEMA yafanya kweli katika propaganda ya muda mrefu

Hatimae CHADEMA yafanya kweli katika propaganda ya muda mrefu

Chadema yadhihirisha ubaguzi wa kikanda,Sasa
1. Mwenyekiti (Mbowe)-Mkaskazini
2. Katibu mkuu (Slaa)-Mkaskazini
3. Naibu katibu mkuu(Mnyika)-Mk askazini.
4. Mwenyekiti Bawacha (Mdee) -Mkaskazini.
5. Mweka hazina-Mkaskazini

Duuuh,Mwanzo nilijua hoja ya ukanda kwa CHADEMA ni propaganda kumbe ni FACT.

Wale wa kukanusha naombeni mtueleze sifa ya ziada walizonazo watanzania wanaotoka Kaskazini kuliko wanachadema wa kutoka mikoa mingine,la sivyo mnataka tuamini kuwa CHADEMA wenye akili ni watu wa
Kaskazini.

Napinga na kukanusha kwa 100% kwa maana ktk hao wote uliowataja hakuna hata mmoja anayetokea Kaskazini mwa Tanzania!
Kaskazini mwa Tanzania kuna Ziwa Nyanza (Viktoria) na Mikoa ya Kagera, Mara na Mwanza na nijuavyo mimi Bw.Mbowe anatokea Mkoa wa KLM ambao upo Mashariki mwa Tanzania kama vile ulivyo Mkoa wa Tanga!
Hivyo kama ulimaanisha hao Viongozi wa CHADEMA wanatokea Mashariki mwa Tanzania hapo sawa lakni SIYO Kaskazini kwani Kaskazini kuna Mikoa ya Kagera, Mwanza na Mara!

Chadema yadhihirisha ubaguzi wa kikanda,Sasa
1. Mwenyekiti (Mbowe)-Mkaskazini
2. Katibu mkuu (Slaa)-Mkaskazini
3. Naibu katibu mkuu(Mnyika)-Mk askazini.
4. Mwenyekiti Bawacha (Mdee) -Mkaskazini.
5. Mweka hazina-Mkaskazini

Duuuh,Mwanzo nilijua hoja ya ukanda kwa CHADEMA ni propaganda kumbe ni FACT.

Wale wa kukanusha naombeni mtueleze sifa ya ziada walizonazo watanzania wanaotoka Kaskazini kuliko wanachadema wa kutoka mikoa mingine,la sivyo mnataka tuamini kuwa CHADEMA wenye akili ni watu wa
Kaskazini.

Kawailize wajumbe wa mkutano mkuu waliowachagua maana wao walitoka sehemu mbalimbali za Tanzania.
 
Hekima hainunuliwi watu ujaliwa na Mungu, sasa utasaidiwa vipi kama hekima ukupewa na Mungu. CCM ni waajabu sana mmeshindwa kufanya kwa vitendo kuhakikisha mnavuruga uchaguzi wa CHADEMA matokeo yake mnapinga kelele na siasa za kwenye mitandao nawapa pole sana na mjiandae kaskazini ndo mnajitoa kwenye ramani, itabaki historia kuwa kulikuwa na ccm kule
Prof.Abdallah Jumbe safari amewekwa kama shotu mbele ya gari na kwakuwa Safari anajitambua subilini muone muda simlefu mizengwe itaanza angalia wakaskazini walivyo jipanga yani yule msagaji ndio m/kiti wa akina mama Ukistajabu ya mussa utaona ya firauni
 
[QUOTmE=Mpangawangu;10628398]Chadema yadhihirisha ubaguzi wa kikanda,Sasa
Miongoni mwa watu waongo na wazandiki we ni mmoja wapo, HV mnyikani Wa kaskazini kweli, hivi halima mdee ni Wa kaskazini kweli. Kajipange ndo uje utudanganye bhana
1. Mwenyekiti (Mbowe)-Mkaskazini
2. Katibu mkuu (Slaa)-Mkaskazini
3. Naibu katibu mkuu(Mnyika)-Mk askazini.
4. Mwenyekiti Bawacha (Mdee) -Mkaskazini.
5. Mweka hazina-Mkaskazini

Duuuh,Mwanzo nilijua hoja ya ukanda kwa CHADEMA ni propaganda kumbe ni FACT.

Wale wa kukanusha naombeni mtueleze sifa ya ziada walizonazo watanzania wanaotoka Kaskazini kuliko wanachadema wa kutoka mikoa mingine,la sivyo mnataka tuamini kuwa CHADEMA wenye akili ni watu wa
Kaskazini.
[/QUOTE]
 
Mkuu hao ndo tishio kwa ccm, sa we ulitaka wawekwe dhaifu?
 
Mleta hoja umechemka..kizazizi hiki cha facebook ni kizazi kisichodanganyika,utawalazimisha lakin hutawadanganya.
 
Mdee ni Mkaskazin kwanini achaguliwe Ubunge KAWE AU KAWE wapiga kura wote ni wa Kaskazini na Kwa Mnyika Jimbo la Ubungo vipi na VIPI Waziri WAKUU wa staafu kama LOWASA, SUMAYE, MSUYA, SOKOINE na kwanini Wabunge wa KASKAZINI wana umaarufu mkubwa kuliko wa kanda zingine Mfano OLESENDEKA, ANNE KILANGO, NASSARI, LEMA, MAGHEMBE, SELASINI, ndesamburo nk?

Nashangaa hata hao wenye kupoteza muda wao kumjibu asiyeelewa anachotaka kujua. Wote waliochaguliwa ni kwa kua walionekanq bora kuliko wengine.Sio lazima m-bunge achaguliwe tu alikozazaliwa. Na hii imetokea mara nyingi.Mrema alishachaguliwa mbunge Temeke wakati yeye ni mwenyeji wa K'njaro.Hii inazidi kuonyesha ulivyo mkabila. Umaarufu wa unaowataja kutoka kaskazini unatokana na elimu,uwajibikaji,uaminifu n.k. Umaarufu hutengenezwa kwa sifa nzuri za mhusika. Kwa hiyo hoja yako hapo haionekani zaidi ya kusumbuliwa na wivu na kutojitambua. Hata hivyo nani kakuweka kuwazungumzia viongozi wa chadema?
 
Nashangaa hata hao wenye kupoteza muda wao kumjibu asiyeelewa anachotaka kujua. Wote waliochaguliwa ni kwa kua walionekanq bora kuliko wengine.Sio lazima m-bunge achaguliwe tu alikozazaliwa. Na hii imetokea mara nyingi.Mrema alishachaguliwa mbunge Temeke wakati yeye ni mwenyeji wa K'njaro.Hii inazidi kuonyesha ulivyo mkabila. Umaarufu wa unaowataja kutoka kaskazini unatokana na elimu,uwajibikaji,uaminifu n.k. Umaarufu hutengenezwa kwa sifa nzuri za mhusika. Kwa hiyo hoja yako hapo haionekani zaidi ya kusumbuliwa na wivu na kutojitambua.

Hamna haja ya kumwelimisha kichaa mkuu kwani utapoteza nguvu na mda wako. Mwache abaki na uchizi wake.
 
Hata ukimuuliza mtoto mdogo atakuambia huna tofauti na "MWEHU",Ukabila na Udini ni vitu tunavyovipiga vita sana,sasa nikuulze;hivi unapomchagua kiongozi yoyote hapa TZ,huwa unamchagu kwa kuangalia anatoka kanda gani,dini au kabila gani,au unaangalia nini?ukishindwa kujibu wewe ni ZUZU tu...
 
Sioni kama kuna shida kama kweli wanaweza kusimamia na kulinda sera za chama.
Mbona ukienda hospitali huulizi 'madaktari wanaokuja kunitibu wanatokea wapi'!?
 
Hivi ndani ya hii JF bado mna watu wana fikra mfu kama hzi na wanajiita 'great thinkers'?
 
Chadema yadhihirisha ubaguzi wa kikanda,Sasa
1. Mwenyekiti (Mbowe)-Mkaskazini
2. Katibu mkuu (Slaa)-Mkaskazini
3. Naibu katibu mkuu(Mnyika)-Mk askazini.
4. Mwenyekiti Bawacha (Mdee) -Mkaskazini.
5. Mweka hazina-Mkaskazini

Duuuh,Mwanzo nilijua hoja ya ukanda kwa CHADEMA ni propaganda kumbe ni FACT.

Wale wa kukanusha naombeni mtueleze sifa ya ziada walizonazo watanzania wanaotoka Kaskazini kuliko wanachadema wa kutoka mikoa mingine,la sivyo mnataka tuamini kuwa CHADEMA wenye akili ni watu wa
Kaskazini.

Hapo kwenye nyekundu Msigwa imekuwaje hakugombea?
 
Chadema imerudisha jeshi la maangamizi,maadui wana weweseka na watalinywa safari hii
 
MPANGAWANGU,kama ni ukanda utachoka bure kwenye taasisi za umma zote hawa jamaa wamejaa,i am not concerned,tunajari uwezo wa mtu wa kufanya kazi,ishu hizo za ukabila hazipo.
 
Usawa wa CCM upo katika ulaji wa rushwa na wizi wa fedha za umma. Hakuna kiongozi wa CCM asiye mla rushwa. Hakuna mwanachama wa CCM asiye mlaji rushwa ndiyo maana wanCCM wanahongwa kuanzia wakati wa kura za maoni mpaka wakati wa uchaguzi. Mzee Warioba alipokuwa Mwenyekiti wa Tume ya Rushwa aliwahi kuwauliza wajumbe wa NEC wa CCM na viongozi wakuu wa CCM kama kuna ambaye hajawahi kula rushwa asimame au anyoshe mkono juu, hakuna aliyesiamama wala kunyosha mkono juu. Ndipo maneno ya Mzee Warioba wakati huo yalipopata uthibitisho kuwa kila mwanaCCM ni mla rushwa, kama hajala anasubiria kula.

CCM ni chama pekee kisicho na ubaguzi
 
MPANGAWANGU nenda na pale Chuo Kikuu uniletee jina la idara mojawapo ambayo haina lecturer wa Kaskazini. Kwanza ingekuwa ni uamuzi wangu, lazima kiongozi awe ana upeo na anayajua maendeleo. Huko Kaskazini, wenzetu wanaongelea maendeleo ya maana wakati kuna mikoa mingine bado wananchi wanahimizwa juu ya matumizi ya vyoo.

Kumbuka Wajumbe waliowachagua hao wa Kaskazini walitoka nchi nzima lakini waliridhika kuwa hao ndiyo wanaofaa kuiongoza CHADEMA, chama chenye vision siyo chama ambacho hakieleweki lengo lake ni kuifikisha nchi wapi!
 
Back
Top Bottom