Hatimae CHADEMA yafanya kweli katika propaganda ya muda mrefu

Hatimae CHADEMA yafanya kweli katika propaganda ya muda mrefu

acha kuzeeka vibaya. hao ndo wenye maamuzi. wengine ni geresha tu. hivi mwenyekiti au katibu akiamua ni nani wa kumpinga? umesahau makamu mwenyekiti aliyepita, said Arf alikuwa akichaguliwa hata watu wa kuongea nao? usifikiri sisi ni wajinga.

Wakati mwingine jamani mkiandika vitu hata kama ni vya kishabiki basi angalau muandike kama mna akili. Sasa ili angalau ujaribu kuonesha ulinganifu wa unachotaka kuonesha. Badala ya 'kupick and choose' ungejaribu kuonesha kwa mfano Makamu Mwenyekiti wa pande zote mbili wanatoka wapi; Manaibu wanatoka wapi n.k sasa ukichagua watu wachache tu ni kuabisha kile ambacho Mwenyezi Mungu amekupa - akili.
 
Malizia na akina Prof Safari wa Kaskazini, Said Issa Mohamed ni wa Kaskazini, Salum Mwalimu Juma ni wa Kaskazini, Patrobas ni wa Kaskazini, Hashim ni wa Kaskazini, Hawa Mwaifunga ni wa Kaskazini, Jannet Fussi ni wa Kaskazini, Zeudi ni wa Kaskazini, Rutembeka ni wa Kaskazini.

Hawa unaowataja hawa unadhani wana access yoyote ya ruzuku au maamuzi hawa! Wamewekwa kama vibaraka tu, we angalia ile list ya top 5 uone, mpaka muweka hazina ni kaskazini! Chezea Chaga Development Movement wewe!
 
John Mnyika sio mtu wa Kaskazini. Muulize. Niliambiwa ni mtu wa Dar es Salaam, wazazi wake wakitokea ?Iringa.
 
Chadema yadhihirisha ubaguzi wa kikanda,Sasa
1. Mwenyekiti (Mbowe)-Mkaskazini
2. Katibu mkuu (Slaa)-Mkaskazini
3. Naibu katibu mkuu(Mnyika)-Mk askazini.
4. Mwenyekiti Bawacha (Mdee) -Mkaskazini.
5. Mweka hazina-Mkaskazini

Duuuh,Mwanzo nilijua hoja ya ukanda kwa CHADEMA ni propaganda kumbe ni FACT.

Wale wa kukanusha naombeni mtueleze sifa ya ziada walizonazo watanzania wanaotoka Kaskazini kuliko wanachadema wa kutoka mikoa mingine,la sivyo mnataka tuamini kuwa CHADEMA wenye akili ni watu wa
Kaskazini.

mWENYEKITI WA bavicha MKASIKAZINI
MAKAMU MWENYEKITI MKASKAZINI

ACHA UFARA WEWE UKANDA NA UKABILA UKO WAPI HAPA HAKUNA KUJIPENDEKEZA NDO UPATA WADHIFA NA WALA WADHINA HAUTOLEWI KWA UKANDA FANYA KAZI ULE SIYO UPAMBE TU NA KUSIFIA SIFIA UTUMBO KAMA NDANI YA CCM
 
acha kuzeeka vibaya. hao ndo wenye maamuzi. wengine ni geresha tu. hivi mwenyekiti au katibu akiamua ni nani wa kumpinga? umesahau makamu mwenyekiti aliyepita, said Arf alikuwa akichaguliwa hata watu wa kuongea nao? usifikiri sisi ni wajinga.
Wewe ndio unazeeka vibaya
 
Back
Top Bottom