Hatimae CHADEMA yafanya kweli katika propaganda ya muda mrefu

Hatimae CHADEMA yafanya kweli katika propaganda ya muda mrefu

Chadema yadhihirisha ubaguzi wa
kikanda,Sasa
1.mwenyekiti (Mbowe)-Mkaskazini
2.Katibu mkuu (Slaa)-Mkaskazini
3.Naibu katibu mkuu(Mnyika)-Mk
askazini.
4.Mwenyekiti Bawacha (Mdee) -
Mkaskazini.
5.Mweka hazina-Mkaskazini
Duuuh,Mwanzo nilijua hoja ya
ukanda kwa chadema ni
propaganda kumbe ni FACT.
Wale wa kukanusha naombeni
mtueleze sifa ya ziada walizonazo
watanzania wanaotoka kaskazini
kuliko wanachadema wa kutoka
mikoa mingine.
La sivyo mnataka tuamini kuwa
chadema wenye akili ni watu wa
kaskazini.

wambea.jpg
 
Chadema yadhihirisha ubaguzi wa
kikanda,Sasa
1.mwenyekiti (Mbowe)-Mkaskazini
2.Katibu mkuu (Slaa)-Mkaskazini
3.Naibu katibu mkuu(Mnyika)-Mk
askazini.
4.Mwenyekiti Bawacha (Mdee) -
Mkaskazini.
5.Mweka hazina-Mkaskazini
Duuuh,Mwanzo nilijua hoja ya
ukanda kwa chadema ni
propaganda kumbe ni FACT.
Wale wa kukanusha naombeni
mtueleze sifa ya ziada walizonazo
watanzania wanaotoka kaskazini
kuliko wanachadema wa kutoka
mikoa mingine.
La sivyo mnataka tuamini kuwa
chadema wenye akili ni watu wa
kaskazini.

YAMETIMIA:
Mwenyekiti JK-Muislam
Katibu Mkuu Kinana-Muislam
VIP Dr Bilal-Muislam
Rais ZNZ Shein-Muislam
VIP ZNZ Balozi Seif-Muislam
Msemaji wa CCM Nape-Muislam

Propaganda zako za kitoto na za kizamani sana
 
JK
Kinana
Nape
Shein
Sophia Simba
Asha-Rose
Abdalah Bulembo
Zakhia Meghi
Seif Ally Idd
Nchemba
heko CCM kwa kuwa na mchanganyiko wa sura tofauti
 
Wamekosa hoja dhidi yetu, sasa waja na vioja, eti kaskazini!
 
Ndio Tatizo la kufikiria kwa kutumia Makalio. Hivi hawa walijichagua au wamechaguliwa? Propaganda nyingine ni za kipuuzi sana. Na hio ndio thinking capacity yenu ilipoishia hapo
 
tunashukuru kwa kutupanulia wigo maana mlianza kua nicha mosh mkaja cha kilimangaro mkaja chawachaga sasa cha kaskazin mtakuja cha nch nzima mtakuja tu taratiibu kwan hao wa kaskazn hawakushindana na wengine? Hoja hizo hazina mashiko so uctuchafulie ck mjinga mkubwa kaoge ulale then ukue
 
JK
Kinana
Nape
Shein
Sophia Simba
Asha-Rose
Abdalah Bulembo
Zakhia Meghi
Seif Ally Idd
Nchemba
heko CCM kwa kuwa na mchanganyiko wa sura tofauti

Ila wote waislamu
 
Kura zilipigwa na wapiga kura kutoka mikoa yote ya TZ. Wagombea walitoka maeneo tofauto hapa nchini. Kura zikapigwa washindi wakapatikana. Kinachokuuma nini? Labda baadae washindwe uongozi hapo ndio waweza kusema waliochaguliwa hawakuwa na uwezo.
 
Haha ha kwani wewe hujui wakaskazini ndio wakali wa vichwa???historia iko wazi kumbuka walipoenda UN kudai Uhuru Mangi Marealle alishauri nini?????pili angalia takwimu za shule kimkoa Kabla ya uanzishwaji wa shule za kata. Mwisho chukua takwimu za wanafunzi bora Tanzania kidato cha nne na Sita kuanzia 1970 to date utuambie wa Kaskazini wangapi, Kusini,Kati, Ziwa,Pwani,Nyanda za juu Kusini na Magharibi. No research, no data no right to complain no right to speak. Got it???? Na kwa taarifa yako Mnyika ni msukuma toka kanda ya Ziwa. Sasa Kama siku hizi wasukuma nao ni wachaga watafurahi sana maana sio tu wataongoza kwa vichwa bali na kwa idadi ya watu. Angalia sensa ya 2012
 
Chadema yadhihirisha ubaguzi wa kikanda,Sasa
1. Mwenyekiti (Mbowe)-Mkaskazini
2. Katibu mkuu (Slaa)-Mkaskazini
3. Naibu katibu mkuu(Mnyika)-Mk askazini.
4. Mwenyekiti Bawacha (Mdee) -Mkaskazini.
5. Mweka hazina-Mkaskazini

Duuuh,Mwanzo nilijua hoja ya ukanda kwa CHADEMA ni propaganda kumbe ni FACT.

Wale wa kukanusha naombeni mtueleze sifa ya ziada walizonazo watanzania wanaotoka Kaskazini kuliko wanachadema wa kutoka mikoa mingine,la sivyo mnataka tuamini kuwa CHADEMA wenye akili ni watu wa
Kaskazini.

Wewe ni wa kupuuzwa sana, hata hujui maana ya Kaskazini.
 
Chadema yadhihirisha ubaguzi wa kikanda,Sasa
1. Mwenyekiti (Mbowe)-Mkaskazini
2. Katibu mkuu (Slaa)-Mkaskazini
3. Naibu katibu mkuu(Mnyika)-Mk askazini.
4. Mwenyekiti Bawacha (Mdee) -Mkaskazini.
5. Mweka hazina-Mkaskazini

Duuuh,Mwanzo nilijua hoja ya ukanda kwa CHADEMA ni propaganda kumbe ni FACT.

Wale wa kukanusha naombeni mtueleze sifa ya ziada walizonazo watanzania wanaotoka Kaskazini kuliko wanachadema wa kutoka mikoa mingine,la sivyo mnataka tuamini kuwa CHADEMA wenye akili ni watu wa
Kaskazini.

Wewe ndiwe mbaguzi.
Hata na hv, walioka kikao na kuchagua/kupitisha majina hayo unawafahamu?
Na wewe ni nani(maana cyo chadema)?
Waachie chadema mambo yao.
 
Wewe mleta mada sikushangai kabisa.
Maana unaweza kumwona mwenzako mjinga kwasababu ya ujinga wako.
 
Chadema yadhihirisha ubaguzi wa kikanda,Sasa
1. Mwenyekiti (Mbowe)-Mkaskazini
2. Katibu mkuu (Slaa)-Mkaskazini
3. Naibu katibu mkuu(Mnyika)-Mk askazini.
4. Mwenyekiti Bawacha (Mdee) -Mkaskazini.
5. Mweka hazina-Mkaskazini

Duuuh,Mwanzo nilijua hoja ya ukanda kwa CHADEMA ni propaganda kumbe ni FACT.

Wale wa kukanusha naombeni mtueleze sifa ya ziada walizonazo watanzania wanaotoka Kaskazini kuliko wanachadema wa kutoka mikoa mingine,la sivyo mnataka tuamini kuwa CHADEMA wenye akili ni watu wa
Kaskazini.

Shangazi hii nyimbo imashachuja zamani sana tafuta nyingine mpya,haya mashairi yemechuja kabla hata ya nyimbo yenyewe haijatoka.
 
Tuambie kama hawafai au wanafaa, kabila maeneo wala dini zao au jinsi zao hazitusaidiii; mbona kuna wakati jeshi lilikuwa linawatu wengi wa mara, hamkulalamika??? vile tuliwapa ulinzi na kupigana vita ya uganda sio???
 
Kwa kweli sijaona hoja ya msingi The matter does not hold water Ukaskazinisio issue wala uislam sio sissue issue ni Je wanaweza kutuongoza fullstop
 
Back
Top Bottom