MTK
JF-Expert Member
- Apr 19, 2012
- 8,920
- 6,858
Uvivu wa kusoma, kufikiri na fanatism (ushambenga/ushabiki mandazi) is a form of metal desease!! maana kwa mtu mweledi kabisa anyefuatilia real issues na yuko objective kabisa asiye na bias au chuki binafsi alitakiwa kukumbuka vitu vya kawaida kabisa!
Hebu angalia hapa chini unipe tafsiri yake kwa upande wa CCM tangu Uhuru
Kutoka Kaskazini
1.Julius Nyerere - Rais
2. Joseph Warioba - PM
3. Edward Sokoine - PM
4. Edward Lowasa - PM
5. Cleopa Msuya - PM
6. Freddy Sumaye - PM
7. Augustine NJI Mrema - Naibu PM
8. Pius Msekwa - Katibu Mkuu
9. Ab. Kinana - Katibu Mkuu
10. Wilson Mkama - Katibu Mkuu
11. Yusufu Makamba - Katibu mkuu
Linganisha kutoka Kusini
1. Ben Mkapa - Rais
2. Rashid Kawawa - PM
3. Peter Pinda - PM
4. Horace kolimba - Katibu Mkuu
Chadema; chadema; Chadema roho zinawasimama; akili inaganda watu wazima hovyooooo; hebu wacheni hizo!! Bs.
Hebu angalia hapa chini unipe tafsiri yake kwa upande wa CCM tangu Uhuru
Kutoka Kaskazini
1.Julius Nyerere - Rais
2. Joseph Warioba - PM
3. Edward Sokoine - PM
4. Edward Lowasa - PM
5. Cleopa Msuya - PM
6. Freddy Sumaye - PM
7. Augustine NJI Mrema - Naibu PM
8. Pius Msekwa - Katibu Mkuu
9. Ab. Kinana - Katibu Mkuu
10. Wilson Mkama - Katibu Mkuu
11. Yusufu Makamba - Katibu mkuu
Linganisha kutoka Kusini
1. Ben Mkapa - Rais
2. Rashid Kawawa - PM
3. Peter Pinda - PM
4. Horace kolimba - Katibu Mkuu
Chadema; chadema; Chadema roho zinawasimama; akili inaganda watu wazima hovyooooo; hebu wacheni hizo!! Bs.
Chadema yadhihirisha ubaguzi wa kikanda,Sasa
1. Mwenyekiti (Mbowe)-Mkaskazini
2. Katibu mkuu (Slaa)-Mkaskazini
3. Naibu katibu mkuu(Mnyika)-Mk askazini.
4. Mwenyekiti Bawacha (Mdee) -Mkaskazini.
5. Mweka hazina-Mkaskazini
Duuuh,Mwanzo nilijua hoja ya ukanda kwa CHADEMA ni propaganda kumbe ni FACT.
Wale wa kukanusha naombeni mtueleze sifa ya ziada walizonazo watanzania wanaotoka Kaskazini kuliko wanachadema wa kutoka mikoa mingine,la sivyo mnataka tuamini kuwa CHADEMA wenye akili ni watu wa
Kaskazini.