Hatimae account ya instagram ya Mange Kimambi yarejea

Mange alicheza mchezo wa kuiblock account yake ili apoteze kiki ya Wema kurudi CCM ili nililiona kitambo sana na amefanikiwa. wengi waliacha habar za Wema nakuanza kumuongelea Mange kwa vitu tofauti wengi walisema kwamba Mange kanunuliwa na CCm.


Na Jinsi alivo rudi kama ww zuzu uwezi kugundua. Alisema Tarehe 15 nitarudi hewani na kweli amerudi ahahaha Mange.
 
What if kama insta wenyewe walimwambia account yako itarudi kuanzia tr. 15?

Hujawahi kurenew line wakakwambia account yako ya pesa itakua activated baada ya SAA 72?
 
Umenikumbusha Roma Mkatoliki!
 
Hali mbaya kwa walio kua wanamponda mange... Namkubali japo simuamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…