mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,767
- 7,115
Kijana naomba ujue tofauti kati ya hatia(conviction) na (sentence), change amekutwa na hatia na haifutiki, ila c mfungwa kwani ameshatumikia adhabu yake kwa kulipa faini, adhabu ilitolewa kwa option, na sio kutumikia kwa pamoja....... so chenge is free but a convict.
2-Kuhusu jambo la Chenge, hapa lazima tujue kuwa katiba hajazungumzia circumstances kama za Chenge, ila inazungumzia kuwa kabla ya kupata haki ya kugombea , ikiwa umeshahukumiwa then haki hiyo inaceas sasa hili la Chenge , mwenye mamlaka ya kulishughulikia hili ni High Court of Tanzania , watu wafungue shauri la madai juu ya tafsiri ya Article 67, huku chenge awekewe court injuction.......... kwa sasa mtapiga kelel lakini yule ni mwanasheria na anajua hajavunja kifungu chochote cha katiba
Kumbuka hukumu ilitolewa na ametumikia adhabu ya kulipa faini hivyo siku hiyo kama asingedit hiyo kesi angekuwa ananyea debe, kwa kuwa aliweza kuiona mapema ndio maana akaongezea kujitapa kuwa yeye ni Rais Wa Africa, kulipa faini ni adhabu tena alitakiwa hata kupigwa viboko Hansini