Unahitaji therapy na rehab ya anger managementSasa hivi pole pole anapendwa!! Anaonewa huruma!! Inashangaza sana! Sijui watanzania aliyewaroga ni nani?
Mkuu huyo haongozi nchi, ulishaambiwa Kuna deep stateIla anayemshauri Rais hana akili kabisa.
Hatari sanaMkuu huyo haongozi nchi, ulishaambiwa Kuna deep state
Thibitisha Mungu yupo.Nimejifunza haya kutoka kwa Polepole na Tundu Lissu hatima uliyo pangiwa na MUNGU huwezi kuikimbia Kuna watu huwa wanasema kwanini wasinyamaze
Hapana kila mtu Kuna namna kaumbwa Tundu Lissu na Polepole wa sasa starehe Yao haikuwa pesa Bali ni kuwa wakweli na wapinga uovu no matter what kitawatokea nawaombea maisha marefu na mapumziko mema kama mmoja wapo hayupo hai
Kuna tusi nimekuhifadhia! Mwehu wewe!Sasa hivi pole pole anapendwa!! Anaonewa huruma!! Inashangaza sana! Sijui watanzania aliyewaroga ni nani?
Mimi nimekuelewa sanaIla anayemshauri Rais hana akili kabisa.
Katika hali ya kawaida ndege wafananao huruka pamoja.Ila anayemshauri Rais hana akili kabisa.
Matusi ndo kitu unachokijua nyama wwKuna tusi nimekuhifadhia! Mwehu wewe!