choikan
JF-Expert Member
- Jun 23, 2016
- 369
- 311
Na NGUO zilezile za janamshana jr; Nimeamini wewe si wa kawaida. Dah! Ulipotizama kwenye tv yako (ramli) ukamuona kwenye mkutano wao wakubwa wa dunia. Kumbe dk naye yumo miongoni. Hukaa pamoja na kina Trump, Francis na Msovieti?? Ndo maana kaja kuyanunua haya majumba kwa shs 900 za kitanzania