AMARII
JF-Expert Member
- Aug 23, 2023
- 1,378
- 3,385
USINGIZI unaenda ukipotea 😅😅
Ni kweli kwa upande wangu sijapata usingizi Tena baada ya kushituka usiku. Zamani nilipata usingizi hata mara tatu kwa usiku mmoja. Ila kwa Sasa nikishashituka tu ndio biashara imeishaa.