Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,919
- 19,758
Mlango nimeacha wazi pita hadi chumbani nakusubiri mremboNilikumiss sana huwezi amini.nakuja pm
Mlango nimeacha wazi pita hadi chumbani nakusubiri mremboNilikumiss sana huwezi amini.nakuja pm
ukitoka uko uje na kwangu😀Nilikumiss sana huwezi amini.nakuja pm
Unataka kusemaje kijanaUnauliza makofi Polisi?
Pia zingatia: chumbani unapolala kusiwe na mwanga mkali, au zima taa mapema. Mwanga huzuia melatoninSawa nitafanya hivo
uje uone sasa😁Kufanya Nini tena? 😝
Villa Matalai Tanga HotelLocation please 🥺 😝
Kuna kulala sikuhizi sasa,full kuviziana mapangaNdoa ni adui mkubwa wa USINGIZI 😅😅😅
USINGIZI unaenda ukipotea 😅😅Shida ya usingizi sio sana... Ila tatizo ukikata usiku ndio bhas tena nabakia macho wazi hadi asubuhi muda wa kuamka. Hii inafanya niogope kulala mapema. Kwa sababu ukikata saa Saba maana yake ni kujigeuza geuza tu hadi muda wa kudamka.